Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,307
- 40,110
Ustumie nguvu nyingi kubishana na wajinga mi nkishaonaga mtu ni mpumbavu sijibishani Kuna fan mmoja kantafta tsup kinaanza kujitetea about Jota nmeki blue tick tuUnavyosema hataweza unatumia hoja gani haswa? Na mbona hivi sasa tayari keshawekwa benchi?
Jota mpaka sasa tunapoongea, kafunga magoli saba (07).
Kwenye ligi tu kati ya appearance tano ambazo kati yake kaingia sub mara tatu, tayari ana goli 3.
Kwenye UEFA mechi tatu goli 4!
Serious? Awekwe benchi na Bobby ambaye mpaka sasa ameanza na kucheza mechi saba za EPL akiwa na goli 1. UEFA mechi tatu hamna goli hata moja?
Moto .... UtawakaBobby's glory days are over at Liverpool, akitaka kurudisha game yake ni kuhama akatafute changamoto nyingine.
Jota ameshachukua namba, na nina uhakika it is for good.
Just imagine, mbele kuna Jota/Salah/Mane: katikati kuna Thiago/Henderson mpya/Wijnaldum au Keita: nyuma kuna Fabinho/Robbo/Gomez/ Anorld.
Hapo tunayeongea naye lugha moja ni Bayern tu, hawa wengine wakatafute size yao, sisi siyo size yao.
TrueMoto .... Utawaka
Ona touches za Jota leo
Bobby asingefunga believe me
Moto .... Utawaka
Ona touches za Jota leo
Bobby asingefunga believe me
Hapana sio Kama origi reastically tunamuhitaji sana boby na hii ndo njia ya yeye kushtukaMasikini Firminho ndio basi tena ameshakuwa squad player kama Origi tu [emoji1][emoji1][emoji23].
Mule muleBinafsi nimeipenda hii, ndicho tumekuwa tukikijadili humu.
Mzee wa historiaKuna watu Kama hamuelewi Boby kumbukeni Ni Bado Sana kumlinganisha Jota na Boby
Boby Ni zaidi ya yeyote pale Liver
Siku hizi macho yangu yana matege?. Naomba nisikuvunjie heshima kilichotumika leo li game plan siyo kwamba Boby kawekwa bench na jota kumbuka Atlanta Ni timu ya aina gani mkuu inahitaji uwe na Nini kupambana nao maybe Boby asifunge msimu mzima Ila cku Boby akifunga wataopata shida Ni kina Gini mkuu
Chakuongezea nadhani sote tu mashabiki wa Liverpool tutaona tuyaache hayo
Ni kweli Bobby amehisi kitu. Naona ameanza na kupoteza confidence akiwa mbele ya golimliokuwa mnataka jota awe anaanza bobby akae bench naona klopp amesoma comments zenu.ila bobby ataanza kuhisi kitu kwenye mechi ya leo.
hapa angekua mwingine angelala chini kusubiri penalt, huyu jota mtu na nusu2nd goal. JotaView attachment 1619049
. Nadhani hujasoma post za wengine ishu siyo history issue Ni kwamba wanasema Boby akae bench hivi unajua wanaotuangusha pale Liver Ni Salah na Mane?
Huyu ni Malafyale aliyechangamkaDah! "Wanaotuangusha pale Liver Ni Salah na Mane" pengine una Point hapa hatujui.
Kipi kikuchekeshacho[emoji23] [emoji23]
Leo hapa pana mchuano mkali kuhusu Bobby, sikuhizi nimejiuzulu tu lakini kwenye mabishano kama haya nilikuwa sikosagi.
Wanaotuangusha Liverpool are ni mane na salah?? hivi upo serious au typing error?. Nadhani hujasoma post za wengine ishu siyo history issue Ni kwamba wanasema Boby akae bench hivi unajua wanaotuangusha pale Liver Ni Salah na Mane?