Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Rashford huo mkataba wa Pauni laki mbili kwa wiki kapewa lini na akiwa katika Umri gani? Greenwood? Ansu fati ? Saka ? Nketiah? etc etc etc. Nitajie unaowajua wako saqa kiviwango na Trent dogo anacheza vibaya mno aondoke jk ndo utajua Liverpool c chochote
Liverpool labda tatizo letu mishahara ya juu katika Club haiendani na soko la sasa ambalo Big Clubs zimeshafikia kulipa wachezaji hadi Pauni laki tano kwa wiki Ilihali Liverpool mpaka Leo hakuna Reports za kuwahi kumlipa mchezaji walau pauni 250,000 kwa wiki

