Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Jota?acha utani mzee
Nimesema ni Concern tu mzee
Jota?acha utani mzee
CorrectionsLiverpool players salary per week
Salah £200,000
Thiago £200,000
VVD £180,000
Firmino £180,000
Henderson £140,000
Milner £140,000
Keita £120,000
Chamberlain £120,000
Matip £100,000
Fabby £100,000
Mane £100,000
Allison £90,000
Jota £90,000
Shaqir £80,000
Gini £75,000
Taikumi £75,000
Nathaniel £70,000
Origi £60,000
Kostas £60,000
Adrian £55,000
Robertson £50,000
Trent A £40,000
Gomez £28,000
Neco £25,000
Keller £15,000
Jones £7,500
Billy £7,500
Sepp £7,500
My take
Over paid players
Shaqir
Chamberlain
Keita
Milner.
Under paid
Mane
Gomez
Robertson
TAA
Gini
Allison
Fabby
Surely comparing what's Manchester United and Manchester City are paying our is total joke...
Our Allison earns 90k whereas Degea is earning 350k per week.
Gomez akina King Ngwaba tafadhali mmasamehe ana stress ya mshahara....
YNWA
Here we comeKwa ile timu yako ilivyo,Nyie kucheza tena UEFA ni Miaka 6 ijayo mtaendelea kuangalia wengine kwenye TV tu.

Acha masihara basi, kama bernado silva afikiriwi pia yule dogo wa atretico itakuwa jota?Jota nini lol... Ureno wanasema ndio mridhi wa CR7 haha...
YNWA

Hili linafahamika atakaebisha ni MchawiFabinho ni mchezaji muhimu zaidi kuliko mchezaji yoyote yule na anapaswa kuwa mzima bila ya kuumia kuliko mchezaji yoyote yule kuliko hata VVD, SALAH na MANE.
Post hii huenda ikawatambua wale waliosoma shule dhidi ya walioiba Mtihani private schools.
Umri wa Trent ni Mdogo ,isitoshe mabeki mishahara huwa midogo ukilinganisha na Viungo au ForwardsKiuhalisia wachezaji wetu wapo pale kwaajili ya Jk 2 Yani mishahara wanayolipwa Ni sawa aston Villa Yani Trent alipwa hela yaajabu tofauti na kazi anayoifanya
Yaani combined salary ya TAA na Robbo na zile assist zao wanalipwa peanuts kwa kweli...TAA anapewa hela ya kununua Karanga na Boxer tu.
Gini kama anaondoka namuunga mkono as I believe he's is played out of position by KloppYaani combined salary ya TAA na Robbo na zile assist zao wanalipwa peanuts kwa kweli...
Hawa Fentway sio watu wa mchezo kabisa..
Kwa staili hii sioni Gini akiongeza mkataba labda Barca waache ule mpango wao wa kumtaka..
YNWA
Mkuu mkataba wake wa sasa nadhani unaisha 2023 huo unaosema bado hajasain but i stand to be corrected...Corrections
Mane is on excess of £ 150,000 pw aliongeza mkataba kipindi watu tulikuwa tuna mashaka na kuongeza mkataba kwake
Gini is on £90,000 pw
Fabinho is on £130,000 pw
Robertson is on excess of £ 65,000 pw
Shaqiri mshahara ni halali sababu ya umri wake
VVD is underpaid
Mane is Underpaid
Robertson also underpaid
Allison is also Underpaid
Overpaid ni Henderson
Henderson anatakiwa awe kwenye £40k hiviMkuu mkataba wake wa sasa nadhani unaisha 2023 huo unaosema bado hajasain but i stand to be corrected...
Klabu ilimpa ofa ya £220,00 kwa wiki wa miaka mitano na sikumbuki akiusaini huo mkataba ndugu... Na alikua anasubiri Real waje aidha aodoke ama awatumie kama levelage ya kudai mkataba mnono too bad corona ikaharibu mambo...
Gini hawajaongeza walishaanza mazungumzo alikataa ofa yao kwa sababu walimpa miaka 2 yeye anataka mitatu...
Fabby ule mkataba alioingia nao kutoka. Monaco bado hujawa extended..
Robby nae still earning peanuts damn you Werner...
Hahaha ebu muache Le Captain.. Usishangae akapewa tena miaka 3 na mshahara £180k
YNWA
Hahahaha Jaoa Felix haha sasa mkuu DullyJr kwani Jota wetu akimridhi CR7 kuna shinda gani...Acha masihara basi, kama bernado silva afikiriwi pia yule dogo wa atretico itakuwa jota?![]()
![]()
![]()
4 3 3 ya Klopp will never get the best out of Gini...Gini kama anaondoka namuunga mkono as I believe he's is played out of position by Klopp
Akibaki Liverpool atakuta anastaafu kafunga magoli machache, poor tackle stats etc
Fabby the bald baddest Brazilian...Fabinho ni mchezaji muhimu zaidi kuliko mchezaji yoyote yule na anapaswa kuwa mzima bila ya kuumia kuliko mchezaji yoyote yule kuliko hata VVD, SALAH na MANE.
Post hii huenda ikawatambua wale waliosoma shule dhidi ya walioiba Mtihani private schools.
Anaweza kucheza namba zote uwanjani, ni kiraka kila mahaliFabinho ni mchezaji muhimu zaidi kuliko mchezaji yoyote yule na anapaswa kuwa mzima bila ya kuumia kuliko mchezaji yoyote yule kuliko hata VVD, SALAH na MANE.
Post hii huenda ikawatambua wale waliosoma shule dhidi ya walioiba Mtihani private schools.
. Nitajie unaowajua wako saqa kiviwango na Trent dogo anacheza vibaya mno aondoke jk ndo utajua Liverpool c chochoteUmri wa Trent ni Mdogo ,isitoshe mabeki mishahara huwa midogo ukilinganisha na Viungo au Forwards
Trent hata miaka 23 au 24 bado
Huo mshahara kwake ni sahihi
Tena wenzie katika umri wake wapo kwenye 25k hivi
Hakuna shida ila nimejaribu kucompare viwangol vya hao watatu, na kile usemacho mkuuHahahaha Jaoa Felix haha sasa mkuu DullyJr kwani Jota wetu akimridhi CR7 kuna shinda gani...
Watch this space Jota is the next big import from Ureno... Time will tell.
YNWA
Ooooh sawa Mkuu nimekusoma...Hakuna shida ila nimejaribu kucompare viwangol vya hao watatu, na kile usemacho mkuu