Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aliyefaidika ni aliyechukua kombe. Bila hiyo VAR asingechukua.
Acha kuongea kama sio mwanamichezo bro.

Kwa mujibu wa stats Liverpool haipo hata kwenye top 3 ya timu zilizofadika na VAR. Sasa imekuaje walionufaika nazo kwa mara zaidi hawakubeba kombe? Give credits when it is due.

Na ukweli mchungu ni kwamba ukiondoa mechi zote ambazo unaona kabebwa na VAR bado points zake hazikuweza kufikiwa na yeyote.
 
Everton wakawaida sana,wangemfunga leo liverpool nyumbani kwao ningeona wako vizuri.

Sasa huko nyumbani unashindwa kumfunga anfield pale utaweza maana anfield liverpool msimu wa nne sasa ajapoteza pale anfield.
Ligi ya msimu huu na Corona hii mnacheza bila mashabiki,hamna tofauti ya nyumbani wala ugenini kote ni sawa ,wanaweza kuja Anfield na wakapata matokeo.
 
Mkuu punguza mahaba, Everton walicheza game nzuri na wameadhibiwa pia kwa foul walizocheza, usimtupie mpira Refa na vAR
 
Well then it shouldn't happen from the start. Marefa na VAR it was a match made in heaven
 
Liverpool HALISI tupongeze team mentality leo,kutoka 7-2 down hadi 2-2 ktk derby sio jambo jepesi!
VAR ni sehemu ya mchezo
Tunajipanga sasa kwa mechi ijayo
Halisi kama halisi[emoji120][emoji16]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…