Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Muwe mnatazama mechi wazee. Au wewe umeangalia kwenye channel tofauti na sisi?
Mi nimeangalia Canal + nimeona kichwa cha Richarlson kimegonga mwamba, nimeona Adrian akistruggle kuzuia curved ball ya James, nimeona Refa akiwabeba pia
 
Hamna aliyeignore. Bali nyie ndo muliignore ability ya Liverpool kwa kudhani kwamba atakuja jichotea tu points.
Naiheshimu Liverpool hata msimu hii naipa nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa na hata mechi leo niliamini atashinda,ila Everton msimu huu ana jambo lake hawa jamaa hawa bahatishi wanajua wanacho kifanya.
 
Brother hayo ya mbele hamna anaye yajua au umesahau ya juzi na Aston Villa
 
Liverpool HALISI tupongeze team mentality leo,kutoka 7-2 down hadi 2-2 ktk derby sio jambo jepesi!
VAR ni sehemu ya mchezo
Tunajipanga sasa kwa mechi ijayo
 
Hamna bao lolote Adrian kasababisha leo!
Bao la kwanza ni very powerful header,beki ilitakiwa iwepo pale kuzuia
Bao la pili ni free header,beki ilitakiwa iwepo pale.
Liverpool HALISI tuwe nyuma ya team,hamna haja ya kutukana wachezaji,tuwaachie Liverpool-Pep Guardiola na Liverpool-Ancelotti wafanye hayo
 
Brother hayo ya mbele hamna anaye yajua au umesahau ya juzi na Aston Villa

Mkuu kwa mtazamo wako everton kacheza kumzidi liverpool? Au mpira ujaangalia?

Yaani everton wakawaida sana mkuu ,licha watu waliwaona kama tishio lakini wakaida sana kuhusu kuchukua ubingwa hapana mkuu Kwa mpira ule.

Liverpool tumeanza na mechi ngumu lakini tunapata matokeo gemu kubwa hivyo ndio kipimo.
 


Everton na Aston Villa ni sawa na Leicester City ya Msimu uliopita.
Wanaanza kwa kasi mwishoni pumzi unakata.
 
Mi nimeangalia Canal + nimeona kichwa cha Richarlson kimegonga mwamba, nimeona Adrian akistruggle kuzuia curved ball ya James, nimeona Refa akiwabeba pia
Refa akitubeba! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kweli mapenzi ni ulevi. Yani ukachagua vya kuona au sio?
 
Naiheshimu Liverpool hata msimu hii naipa nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa na hata mechi leo niliamini atashinda,ila Everton msimu ana jambo lake hawa jamaa hawa bahatishi wanajua wanacho kifanya.

Everton wakawaida sana,wangemfunga leo liverpool nyumbani kwao ningeona wako vizuri.

Sasa huko nyumbani unashindwa kumfunga anfield pale utaweza maana anfield liverpool msimu wa nne sasa ajapoteza pale anfield.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…