Last EPL game Kati ya Liverpool na asses iliishaje?Hakika sina shaka hata walakini na timu yangu katika msimu huu..
Jambo linalonipa uhuru wa kutamba pia kwenye majukwaa mengine.
Nakukaribisha kesho ushuhudie ninavyozamisha jahazi la mabaharia wa mjini Manchester..
Tuwekee na ya asses
Yani hawa kenge wangefungwa leo mbona ningefanya sherehe!!!Arsenal mna game ngumu dhidi ya City, lakini mshabiki wake unapata nguvu ya kuja kuzomea maadui!
Ooooh yamekuaje dili huko?Mafuta ya ndege na gari
Yani hawa kenge wangefungwa leo mbona ningefanya sherehe!!!
GGMU.
[emoji115]Evertonians tujuane mapema..
Adrian kaanza teba leo. Sijui atatukanwa tena au leo atanyanyuliwa juu kama mfalme. Yangu macho
Kila lililojema Everton
Acha roho mbaya Gomez huyoooooooo ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Furaha pekee niliyonayo leo ni Klopp kusikia Kilio chetu kuhusu Gomez.
Natamani nisimuone tena uwanjani kwa Msimu huu.
Kwenye 7 Adrian ana makosa yake lakini na Gomez anahusika kwa Asilimia 50%.
Acha roho mbaya Gomez huyoooooooo ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]