Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Tunae Klopp,super tactian
Everton hawezi tufunga
Sijui James sijui upuuzi gani ndiyo nn sasa?
Klopp anajua wapi team ili collapse na atarekebisha!
Kipa Adrian sio sababu ya kufungwa
Kunguru kumyea binadamu sio kwamba ana shabaha imetokea tu kwa bahatiHahaha, zile 7 za Aston Villa Klopp alikuwa likizo.
Mwamba upo Bangladesh katika mishe gani ? Tuambiane bwana Bongo pamechachaAnayejua online tv aniambie nipo pori Sana huku Bangladesh
Anauza mafuta, huko si unajua ndio biashara kubwaMwamba upo Bangladesh katika mishe gani ? Tuambiane bwana Bongo pamechacha
. Kuna mdosi mmoja mjerumani namdrive mkuu Sasa yeye yupo mapumziko na familia yake mi wananikosesha amani huku mkuuMwamba upo Bangladesh katika mishe gani ? Tuambiane bwana Bongo pamechacha
. Kuna mdosi mmoja mjerumani namdrive mkuu Sasa yeye yupo mapumziko na familia yake mi wananikosesha amani huku mkuu
Anha nimekusoma mkubwa. Kuna mdosi mmoja mjerumani namdrive mkuu Sasa yeye yupo mapumziko na familia yake mi wananikosesha amani huku mkuu
Mafuta gani tena?Anauza mafuta, huko si unajua ndio biashara kubwa
Mafuta ya ndege na gariMafuta gani tena?
"Kesho mnakufa tena!" alisikika shabiki mmoja maandazi.
Bisha kama unajiamini[emoji16]
Hakika sina shaka hata walakini na timu yangu katika msimu huu..Arsenal mna game ngumu dhidi ya City, lakini mshabiki wake unapata nguvu ya kuja kuzomea maadui!
Hakika sina shaka hata walakini na timu yangu katika msimu huu..
Jambo linalonipa uhuru wa kutamba pia kwenye majukwaa mengine.
Nakukaribisha kesho ushuhudie ninavyozamisha jahazi la mabaharia wa mjini Manchester..
. Ahsante Sana Mkuu nimejaribu naona imo vzuri SanaKama unatumia Android kuna application inaitwa Mobdro, unaipata kutoka Google.
Jaribu hiyo.
. Ahsante Sana Mkuu nimejaribu naona imo vzuri SanaKama unatumia Android kuna application inaitwa Mobdro, unaipata kutoka Google.
Jaribu hiyo.
. Ahsante Sana Mkuu nimejaribu naona imo vzuri Sana