Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wazee wa kucomments kwa english mnaendeleaje mzee Jurgen vipi ameshapona majeraha ya ajali aliyogongwa na bus la astonvilla.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2772][emoji3577]
 
Labda kama hujaangalia ile mechi, jamaa alichoma goli moja tu kati ya [emoji2772][emoji3577] waliyobugizwa, na aliclear one v one moja pia, hayo mengine ni makosa ya timu nzima,,,,,
Ninachokiona hapa ni tatzo la nyota tu

Yule ni Bonge la Kipa tuwauzie basi?
 
Ni upumbavu kuamini kwamba kila deflection lazima iwe goal, kuna makipa kibao washasave deflection nyingi zilizotokea ndani ya mita mbili, lkn babu yenu kashindwa kusave deflection zilizotokea nje ya kumi na nane bado mnamuona bonge la kipa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…