Miaka matatu inajayo tena ndio watakuwa na hali mbaya zaidi kwa sababu ,Muokozi wao au Mwenye timu AUBAMEYANG Atakuwa na miaka 34 na atakuwa ameshajiondokea zake kwenda China.DullyJr na Aaron Arsenal nawaonea wivu aisee mmepata jembe haswa..
Thomas pale mmemaliza kile ambacho Wenger kilichomshinda..
Mmepata natural box to box MF na kwa bei chee kabisa £50m lol yaani Mikel naanza kumwelewa aisee misimu mitatu ijayo kwa kasi hii atakua levo zingine..
Mmemwachia El choro kilio anadai board imemuangusha kumtoa Partey kuja kwenu...
YNWA
Usajili jamaa wa Mikel ni strategic ndugu..Miaka matatu inajayo tena ndio watakuwa na hali mbaya zaidi kwa sababu ,Muokozi wao au Mwenye timu AUBAMEYANG Atakuwa na miaka 34 na atakuwa ameshajiondokea zake kwenda China.
Hii ni tecno au[emoji13]nianze kwa salam, habarini bandugu L7
Hapa naona tatizo ni nyota tu,Mimi ni Liverpool PEP [emoji23][emoji23]
Halisi ni wewe na DullyJr munaotaka ushindi kupitia kumuomba Mungu na kushikamana JF wakati Game inachezwa England [emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi kama waombolezaji tunaendelea kutoa pole kutokana na mafuriko yaliyowakumba hapo jana katika kijiji cha Villa Park, kwa kweli ni mafuriko yaliyoacha historia ambayo hauyosahaulika na tunamshukuru Mungu ninyi majeruhi munaendelea poa. [emoji41][emoji41][emoji41]
Tunaendelea kutoa tahadhari ..kwa maana mulijiamini sana na kujipa uwakika wa kuvuka mto Villa, ilihali mvua ilikuwa kubwa tena ya upepo mkali..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuendelee kutoa pole mkuu. Kipigo cha mbwa koko walichopata ndugu zetu siyo cha kitoto.Nipo hapa natoa somo kuhusu kujikinga na Janga hili la mafuriko hususani kipindi cha mvua kali🤪🤪🤪
Yani mkubali Adrian lakini siku ya game na nyinyi hatumueki golini 😂😂😂Hapa naona tatizo ni nyota tu,
Umemkosoa VVD na kuomba msamaha kwa walě wanaomwamini...
Ila umemkanyagia mbayą Adrian na Hendo bila kutujali sisi tunaowakubali hao watu... [emoji23]
Ila kweli aisee , Wewe Adrian ukipiga imoKarius > Adrian x 1099.
Ila kweli aisee , Wewe Adrian ukipiga imo
Refer UCL v/s Atletico , jamaa walibanwa sana ,ila walipopiga tu wakapata magoli
Adrian ni mpumbavu na wanaomtetea ni wapumbavu kama yeyeJuzi Villa walikuwa wanataka sifa hasa! Walikuwa wakipata mpira wakifika nje ya Box tu hata hawaangalii mazingira wanapiga tu wanajua utababatiza japo mabeki na na ukifika golini tu utaingia kwenye Nyavu [emoji23][emoji23][emoji23]
Adrian ni mpumbavu na wanaomtetea ni wapumbavu kama yeye
Bi mkubwa wako pia nimemsikia anamtetea Adrian[emoji23][emoji23]Adrian ni mpumbavu na wanaomtetea ni wapumbavu kama yeye
Na yeye ni mpumbavuBi mkubwa wako pia nimemsikia anamtetea Adrian[emoji23][emoji23]