Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Baada ya goal la 5 kuingia wachezaji wakazila pale uwanjani, yan kila mtu alikua anacheza anavyojua yeye

Lakin wapuuzi wachache wa buza walikua wanaumia sana.

Hapo bado hamjakutana na EVERTON
 
Naona inzi wamepungua jukwaa hili,,....ile harufu mbaya ya jana nayo pia imepungua karibu kuisha...
😁 😁😁...
Ila Klopp ana kiburi aisee, hivi kweli yule Adrian ndo anaendelea kukomaa nae tu?...
Kwamba haoni mapungufu yake....
 
Tatizo sio 7

Tatizo ni kufungwa na mid table timu kama astonvilla gori 7

Aibu

Aibu


Bora mngepigwa na lecister, everton, city, chelsea, au arsenal

Sasa avl anawapachia kuni saba, zinasogezwa huko nyie mnaangalia tu,nashindwa hata kukaa golini nyote
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unajua Fergie bhana hakua bingwa bingwa bingwa bingwa mpaka basi kwa kubahatisha, alipandisha wachezaji na kusajili kwa mahebabu makali sana ili kuhakikisha makali ya timu kuchukua EPL yapo pale pale...

Hili la kusajili kwa hesabu angalau Edwards amefanikiwa mno tangu Klopp atue Liverpool ishu kuu nayaiona mie ni pale tunaaminishwa lazima tuuze ili tununue na eti Corona imetuacha weupee pee..

Gomez kiwango chake hakijaanza kuporomoka jana ina maana dirisha hili kulikua na muda wa kutosha kusajili beki wa kati, namba 9 wa ukweli, namba 10 wa ukweeee...

Muda utasema wape tunaelekea....

Kuna mechi dhidi ya Everton
Kuna mechi dhidi ya Citizens
Kuna mechi dhidi ya Atlanta.

Yaani hapo tukatazame mpira na maji ya baridi mkononi 😂😂😂😂😂😂

YNWA
 
Naona inzi wamepungua jukwaa hili,,....ile harufu mbaya ya jana nayo pia imepungua karibu kuisha...
😁 😁😁...
Ila Klopp ana kiburi aisee, hivi kweli yule Adrian ndo anaendelea kukomaa nae tu?...
Kwamba haoni mapungufu yake....
Mkuu huyu drunken master hapangiwi haha..

Kuna muda utamchukia haha kuna muda utasema woow huyu ni wa hapa hapa..

Love him, hate him haha he is the sure best shot we have regaining our top spot as England best always...

YNWA
 
Hili genge la wahuni bado tu halijasambaratika tu
Poleni na kipigo cha jana
 
Kwa kawaida timu ikitoka kutwaa taji ni lazima ujazie nyama.
Na hii ni kawaida maana wachezaji wasipokuwa na ushindani wa namba ni lazima wajione Mungu watu.
Klopp asipochukua hatua za haraka basi tujiandae kisaikolojia
 
Nacheka kama mazuri ila tumepigwa saba daaaah klop ni hii ni wake-up call jipange team zote zipo vizuri hakuna game ya kudharau, baada ya kumfunga Chelsea na arsenal tukaona tumemaliza so, hii imetufunza jambo. YNWA at the end of storms there's golden sky.
Hapa tunatakiwa kusajili kipa haraka sana, nawahakikishieni endapo tutaenda Goodson park na Adrian kitakachotupata mtu asiniulize
 
Hivi goli kama hili ni la kumlaumu adrian????


Mnabeki za hovyo tu
Mabeki sio wa hovyo klop ndio wa hovyo,mabeki wetu Robertson & Alexander kwenye kikosi ndio wanaotegemewa kupeleka mashambulizi mbele at the same time wanatakiwa wakabe huwezi ukawa bora sehemu zote.
 
Klopp ni genius ila inabidi ajue wale nao ni makocha na wanafikiria

Aaache arrogance za kitoto
 
Aache ujuaji over
 
Hapa tunatakiwa kusajili kipa haraka sana, nawahakikishieni endapo tutaenda Goodson park na Adrian kitakachotupata mtu asiniulize
Subiri wenye Liverpool yao watakuja kukuambia, hakuna kipa anayeweza kukubali kuja kuwa backup ya Alison, so tukomae tu na Adrian!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…