Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu demu miyeyusho. Kwenye gheto la makuti anapigwa bao 7?
 

Nashindwa kuwalaumu sana misimu mi 3 mmepiga mpira wa nguvu sna na kikosi kilikuwa finyu all in all mpira una maajabu yake ukinaswa ndio hivyo tena mara wiki mara 6 mara 5 za city
 
Kazi kazi ndugu..

Hii ndio EPL matokeo ya mfukoni hayapo..

Uimara wetu hua ni kushinda mpira pale tunavyonyang'anywa mpira pap na kuanza mashambulizi...

Villa hawakupaki basi mwanzo mwisho wametufauata ndio makosa yote yale tukapigika..

Villa hawakuogopa kujirisk na imewalipa vyema...

When you dont win the second ball we are done... Winning the second ball is our main strength..

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…