Yule jamaa aliyekosa alikuwa na kipa tu, lingekuwa la 8 dah... Ila tusubirie leo mtapigwa hata 10 mamaeeeTunaomba Aston villa msipige la nane mkavunja rekodi yetu tuliompika mshika bunduki za mabua
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]
Subiri baada ya mchezo kuna Watu watasema:-
Tumefungwa hajacheza Mane
Tumefungwa hajacheza Henderson
Utadhani wangekuemo wangemsaidia Adrian kudaka
Najua ulikuwa huamini unachokiona na sasa umeshaaminiGoli zinarudi hizi na Watu hawatoamini
Naona umeamua kujidanganya,hatuna timu ya kufanya huu muujiza.Hapa ya 8 ipo lakini matokeo yatakuwa
Aston Villa 8 - 9 Liverpool