OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Hahahaha najua Chelsea ipo moyoni ila nahisi Mr wako atakuwa Liverpool hivyo unamsaport kinamna ..lakini piga ua wewe ni Chelsea damu..Kwahiyo leo tunapingana? Basi sawa time will tell...
YNWA β€π₯
Hahah leo nipo mwanzo mwisho na AstonVilla ..chama la wanaa japo Samagoal hayupo leo angewatupia maan ni kawaida yake kuifunga liverpool. πππBaadae usisahau kurudi hapa...
Leo Red tuna jambo letu, kuanzia ndani Simba mpaka nje Liverpool
aya bana endeleeni na jambo lenu..MAN CITY akipata matokeo mabaya ndo shangwe ya umu nasio CHELSEA so endelea kufurahisha jukwaa la MABINGWAKwani lini nmeshawahi kuweka ahadiπ€₯π€₯π€₯
Leo AstonVilla tuna jambo letu aiseeeee....
πππππ
Chama la wana ni Liverpool wewe, tukiachana na yale machama yetu ya damuni karibu huku chama la wana YNWA π πHahah leo nipo mwanzo mwisho na AstonVilla ..chama la wanaa japo Samagoal hayupo leo angewatupia maan ni kawaida yake kuifunga liverpool. πππ
Niko Liverpool na sababu zangu na huyo Mr ni man Utd, na leo natamani Totten afungwe tu maana alinitolea Chelsea yangu kwenye ramani ya carabao bado sijapoa πHahahaha najua Chelsea ipo moyoni ila nahisi Mr wako atakuwa Liverpool hivyo unamsaport kinamna ..lakini piga ua wewe ni Chelsea damu..
Btw leo AstonVilla tuna jambo letu .leo tunachana mikeka ya watu
Unamchomekea mtalimbo....Tulia nikupachike ukuni vizur,
Acheni kutukanana hovyo hiki sio kilabu cha gongo[emoji15]Mbwa ni mamaako alieinamishwa kwenye mbio za mwenge ukapatikana, mwana ulielaaniwa....
Uzuri baadae hukosi maneno ya ziada pale msimamo utakua unasomaUshindi kwetu ni jambo la kawaida mkuu. Leo tuna hakikisha huchomoki pale Villa Park
Sisi kama AstonVilla tuna jambo letu.
Acheni kutukanana hovyo hiki sio kilabu cha gongo[emoji15]
aisee inasikitisha sana kuona maneno kama ayo kutoka kwa binadamu,kuvumiliana ni jambo kubwa la maana.Sikuhizi tumepata Washabiki wa ajabu sana! Hawajui kuwa hapa wakati wa Ukame tulipitia magumu mengi na tukaweza kustahamiliana.
Enewey! Sisi Manure tumeshasajili Cavani huko wa kubeba makombe.
Leicester hali si hali muda huu, naona anapisha juu pale zibaki timu za mjini Liverpool pekee.
Everton vs Liverpool tar 17 itakuwa na utamu sana.
Mpira kweli hauna adabu ππ
Yani Lesta na umwamba wake wote wa kumdungua Manure City nyumbani kwake nayeye kaishia kupigwa kipigo cha paka mwizi nyumbani kwake na Westham. π
Yani ni shidaMpira kweli hauna adabu [emoji23][emoji23]
Yani Lesta na umwamba wake wote wa kumdungua Manure City nyumbani kwake nayeye kaishia kupigwa kipigo cha paka mwizi nyumbani kwake na Westham. [emoji23]
Allison out of today's game with injury .
Ni injury Mkuu.Ni injury au corona?
Ameitwa timu ya Taifa, isije kuwa kuna ujanja wa kutotaka aende.
Ni injury Mkuu.