Mtasema weeeeeh lakini jana tumewagonga na kuwafurusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan klop kwa dharau kabisa akaamua na van dijk,salah na jota awatoe hiyo ni kuonyesha hichi kikombe sikihitaj
Lini alisema anadharau? Au wewe ni mwanafamilia wake kwahiyo umemsikia chumbani akisema hayo,Mambo ya klopp kudharau makombe yalifanya tupate kombe moja mwaka jana
Huyu babu kuna muda anazingua sana
Huyo anshabikia timu mbili[emoji1787][emoji1787]
Liver na chelsea,
Mvumiliane jamani
Swadakta, hilo ndilo jibu sahihiSo, ikikutana Liverpool na Chelsea hata siku moja hatopoteza Game manake atakayeshinda ndiyo atakayemshangiria.
Wanivumilie nini? Yan ushabiki wangu mie ukutese mpaka useme nivumiliwe!! Ajabu hiiHuyo anshabikia timu mbili[emoji1787][emoji1787]
Liver na chelsea,
Mvumiliane jamani
Hii naisapoti 💯💯💯💯💯....Upo sawa ila Gini yupo mwisho Glujic yupo mwanzo ni bora hata wabakie wote awe anapewa dakika 30 za Gini
Shaqir yupo mbioni kuodoka na yule injury trend yake sio nzuri hivyo asinge mrisk..Kwa jana angempanga Shaqili badala ya Wilson na asingemtoa Jota tungeshinda
Bro najua maneno yangu yamekuumiza sana nina karibia mwaka wa 3 toka niwe hapa jf kwahiyo piga hesabu mwenyewe.Wewe jamaa na yule mwingine mnaonekana malimbukeni sana hamjazoea hivi vitu,mtakuwa ni mamluki mliohamia Liverpool,Big up Malafyale halisi tunaiona sasa[emoji16]
[emoji848][emoji848]Bro najua maneno yangu yamekuumiza sana nina karibia mwaka wa 3 toka niwe hapa jf kwahiyo piga hesabu mwenyewe.
Kuna muda huwa nafkiri tambo na mambo kama haya kuna watu wanastahili ila sisi wengine tukifanya kesi ..
Sawa Liverpool halisi ndo nyie hakuna shida sisi wengine tutaondoka isiwe kesi
Rhian deal to Blades
Liverpool to retain buy-back clause valid for three years and 15 per cent sell-on clause for 20-year-old striker
The buy-back clause is valid for the next three years.
All the best to the boy..
YNWA
Sijawahi kuteseka na shabiki wa nailoni[emoji1787][emoji1787]Wanivumilie nini? Yan ushabiki wangu mie ukutese mpaka useme nivumiliwe!! Ajabu hii
Tunza nguvu za kuja kubijishana jumapili mkishindwa kutoboa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kinyonge sanaBro najua maneno yangu yamekuumiza sana nina karibia mwaka wa 3 toka niwe hapa jf kwahiyo piga hesabu mwenyewe.
Kuna muda huwa nafkiri tambo na mambo kama haya kuna watu wanastahili ila sisi wengine tukifanya kesi ..
Sawa Liverpool halisi ndo nyie hakuna shida sisi wengine tutaondoka isiwe kesi
Ni kweli huyu Alpine Messi akiwa amepona sio bench warmer...Nitafurahi kweli kama Shaqir naye akiuzwa, aende sehemu wanakohitaji service yake.
Time for Jota to shine on...Thiago! Mane! Sasa kazi ipo, Hope Jota atasaidia.