shabiki wa asenane kushinda kamechi ka karabao kwa penati, takataka kama takataka !tuwaombe Man U (Pundamilia Fc) pamoja na Ng'ombe Fc(Chelshit) waanze tu kujiandaa na msimu ujao wa 2021/2022.... Huu wa 2020/2021 umeshawashinda... Hawana chao.... Waandike barua FA waende Pre season Malaysia huko na Japan wajiandae na msimu ujao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungeshinda wewe kawaida basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shabiki wa asenane kushinda kamechi ka karabao kwa penati, takataka kama takataka !
Pamoja sana mkuu
Artena 3 Klop 1
Origi alitaka kujiona Ronaldo kumbe ni Mapung'o! Unarudije hatua tatu nyuma kupiga penalty wakati ni tia maji tia maji
Eti jogoo amefanywa kitoweo, kachinjwa kapikwa mchemsho safiii kabisa. Alisikia shabiki wa asernane akisema
Anyway ndiyo mpira ulivyo, ni either u'win, draw or loss. Mashabiki wa Liverpool tulale kwa amani, EPL bado ipo....
Hata mimi ndivyo nijuavyo,Akili za Klopp kama za King Ngwaba wanasemaga haya makombe ni mickey mouse [emoji23][emoji23]
Wanadai makombe ni mawili tu EPL na UCL [emoji3]
Ishu mkuu dogo ana miaka 24 ana uhitaji wa dakika za kutosha uwanjani na pia ukumbuke hata msimu uliopita kwenda kwa mkopo ilikua kama alifosiwa hakua na utayari..Grujic ni bonge la midfielder, haitokuwa wazo zuri kumtoa kwa mkopo ama kumuuza. Namuona kama ni replacement nzuri ya Wijnaldum.
Mkuu sidhani kama ni Klopp...Klopp anazingua.
Ishu mkuu dogo ana miaka 24 ana uhitaji wa dakika za kutosha uwanjani na pia ukumbuke hata msimu uliopita kwenda kwa mkopo ilikua kama alifosiwa hakua na utayari..
Bayern Monchengladbach nadhani wapo UCL hio ndio doto yake kuu kucheza levo hizo...
Kwa sasa Klopp anakomaa na Gini aongeze mkataba mapema kabla ya Januari hivyo tusubiri mpaka tarehe 5 tuone kama Grujic atakuwepo ama la...
YNWA
Unatafunwa tena si mara moja unatuita wachovu kwenye ligi unapigwa hadi finals lini tumekuita wachovu.Kwani hivi tukichukua hiyo carabao na ligi shida inakuwa wapi?
Ni aibu kutolewa na wachovu kama nyie
Mmupige nani ndani nje kama kwenu tu mmeshindwa kutufunga mfululizo.Kwa Leo mmeshinda kumbuka next time there will be no mercy
Tukitaka kuwatoa huwa tunawapa kikosi B akina Saka tumeona akina Abu mnawaweza.Mkuu sidhani kama ni Klopp...
Jana hit and miss zilikua nyingi tu...
Kwenye mechi za mtoani kutokua clinical golini huleta majuto..
Nafasi tulipata nyingi tu na Leno jana he meant business ali rise to the occasion wakati wote...
Kikosi B bado kipo kwenye transition haha tuwe na subira...
Ukiona akina Mane, Salah, Firmino nk wanapewa dakika nyingi EPL ndio ujue Klopp anaona mengi mazoezini... Jana nafasi walitengeza nyingi tu lakini hawakua na umakini golini hilo ndio limetuangusha...
YNWA
Sio dogo yule... Anaitwa Marco Grujic kiungo mzuri ambaye Liver haijawahi kuonyesha kama inamuhitaji[emoji2765] Kuna dogo wa liver nimemuona jana, yaani akishika mpira mguuni, kuuchukua inabidi uite polisi.
[emoji2765] Xhaka kuna mida alikuwa kaachwa hatua chache kwa kuogopa pressing za haraka, ikabidi amshike jezi, bukta na shingo, aibu nimeona mimi.
[emoji2765] Anaitwa nani huyo dogo! Ni mrefu hivi, mi sijamshika jina.
Mkuu sidhani kama ni Klopp...
Jana hit and miss zilikua nyingi tu...
Kwenye mechi za mtoani kutokua clinical golini huleta majuto..
Nafasi tulipata nyingi tu na Leno jana he meant business ali rise to the occasion wakati wote...
Kikosi B bado kipo kwenye transition haha tuwe na subira...
Ukiona akina Mane, Salah, Firmino nk wanapewa dakika nyingi EPL ndio ujue Klopp anaona mengi mazoezini... Jana nafasi walitengeza nyingi tu lakini hawakua na umakini golini hilo ndio limetuangusha...
YNWA