Nakwambia leo ndio Watajua Hawajui! .... Kipigo cha mbwa koko.. watapigwa , watachakaaLiverpool! Liverpool! Liverpool!
Hii sio Arsenal ya UNAI,msitegemee kitonga,Tupo kamili gado tofauti na mnavyofikiriaa.
Liverpool 6 : 1 ArsenalFT: Liverpool 3-0 Arsenal. Salah, Mane, supper sub la tatu
Yani wewe ulishagongwa na Arsenal unakuja kumuomba mke wenzako akusaidie..Hebu nipigieni zile ng'onda za London zipunguze kelele. Wanajisifia penye hamna.
Nakwambia leo ndio Watajua Hawajui! .... Kipigo cha mbwa koko.. watapigwa , watachakaa
Hii PES ulikuwa unachezea wapi mkuu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Liverpool 6 : 1 Arsenal
Usajili wetu nao ushaanza na pancha
Wenyewe hawajashinda tokea 2012 mkuuARSENAL MNAJUA HATUJAFUNGWA ANFIELD MIAKA 3 SASA
Hope Klopp kamuelekeza jinsi ya kufuta baadhi ya errorsArsenal forward line yao inaonekana bora kulinganisha na back line yetu. Any mistake tutaadhibiwa. Gomez amerudi kuchukua nafasi yake, dhidi ya Leeds yeye na kaka mkuu vvd walifanya makosa ya kizembe na kuruhusu magoli mawili.
Auba, Laca na Willian ni moja ya combo ninayoigopa kwa sasa pale epl. Wote ni wafungaji wazuri. Kukosekana kwa Alcatraza hata kwenye bench ni pigo kwetu.
Tutapambana ndugu hamna namna..Mimi kiukweli msimu huu siwaoni mkinyanyua kwapa EPL. Labda makombe mengine
Huyu angeanzia benchi tu..My only concern today is Joseph Gomez