Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hamna kitu mule, VAR imewabeba tu lakinı ingekomaa lile goli la 3 kuna mtu alinawa ball
 
it seems like some of us who had our reservations about Timo Werner might have been right all day long, or too soon to judge?
 
Ninyi mlifanya nini kwa Leeds? Mmngeweza kupoteza ile game kama siyo penati mbili mlizopata. Kikosi kuko vizuri ni suala la Muda tu
Hatushangilii draw ila ni spirit ya kurudisha magoli.
#CFC 💙💙💙
 
Chelsea timu ya kawaida sana
Ninyi mlifanya nini kwa Leeds? Mmngeweza kupoteza ile game kama siyo penati mbili mlizopata. Kikosi kuko vizuri ni suala la Muda tu
Hatushangilii draw ila ni spirit ya kurudisha magoli.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
 
Ninyi mlifanya nini kwa Leeds? Mmngeweza kupoteza ile game kama siyo penati mbili mlizopata. Kikosi kuko vizuri ni suala la Muda tu
Hatushangilii draw ila ni spirit ya kurudisha magoli.
#CFC 💙💙💙
Mkuu zile bwebwe zako zilituaminisha kwa usajili huu utakua kila gemu unashinda ili hatimae uwe bingwa 2020 -2021...

Kwa hali mnayokwenda nayo hata nafasi ya 4 mtaisaka kweli kweli...

Leeds sio Westbrom ndugu..

Subiri mkutane utawaelewa vyema..

YNWA
 
Hamna kitu mule, VAR imewabeba tu lakinı ingekomaa lile goli la 3 kuna mtu alinawa ball
🤓🤓🤓🤓🤓Lampard naona akitolewa kafara pale maana yule mrusi hawezi weka pesa zile aafu aishie nafasi ya 6...

Mkikomaa vizuri mtamaliza juu ya hawa jamaa...

YNWA
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…