Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewe tunakujua Mzee wa kuchangamsha genge huwezi kuvumilia kukaa muda wote huo. By the way karibu tena
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€asante sana mkuu. Mimi huwa naleta upinzani wa kweli. Unajua Chelsea ndo timu inayochukiwa na marefa sana? Unaona juzi jinsi Refa alivyotuua??
#CFC πŸ’™πŸ’™πŸ’™
 
Salimia wakubwa kwanza, naona umeshindwa uvumilivu umejileta mwenyewe
Dah kwakweli hadi round ya kwanza iishe itakuwa mbali sana. Ivyo tutaendelea kuwaombea njaa na mapambano yataendelea ili kuhakikisha unamaliza ligi ukiwa na kikosi cha kuunga unga.

Sisi kama Chelsea tuna uhakika kuwa tutamaliza ligi ninyi mukiwa nafasi ya tatu au nne uko..
#CFC πŸ’™πŸ’™πŸ’™
 

We jamaa burudani sana, nilishangaa eti ujipige ban!
 
Mkuu nahisi swala la kujaribu kuondoka kwa Messi nalo linahusika hapa,Sina hakika Ila nachosikia Messi and Suarez wanaelewana Sana(marafiki) ndan na nje ya uwanja so kipind mess kakomaa aende Man City suarez Ni mmoja Kat ya wachezaji waliomuunga mkono moja kwa moja na yeye pia akitaka kutimkia juve...maana juve ilimtaka kabla ya ATM,nahisi baada ya kuona wameweza kutuliza upepo mbaya kwa Messi kipind hiki labda wameamua kumfedhehesha Suarez kwa staili hiyo.
 
Suarez kumbe wamefukuza
SIO HAKI
.
"Tutakumiss sana tumekaa miaka mingi pamoja tukifanya vitu vingi ambavyo hatuwezi kuvisahau, ni maajabu kuona unaondoka unaenda timu nyingine na utakuja kucheza dhidi yetu, ulistahili kuagwa kwa heshima kwani wewe ni moja ya wachezaji muhimu sana katika historia ya Barcelona, umeshinda tuzo nyingi sana na timu na pia binafsi hukustahili kuondoshwa kwa staili hiyo".
.
Maneno ya Messi, inaonekana Messi hajamalizana na Barcelona na haogopi kuwabwatukia.
 
Origi anaelekea kama a nasepa Brighton kumfuata lallana kumpisha DIOGO jota.
Wilson atamfuata ila sijui timu gani.
 
Nilikuwa napita tu kutoa pongezi japo tunajua nyie ni timu bora lakini kuifunga Chelsea mulitumia nguvu nyingi sana hadi kusababisha red kadi..tukipata muunganiko unaofaa tutaleta shida sana apo EPL.

#CFCπŸ’™πŸ’™πŸ’™
All the best ndugu..

Wakati mnajiweka sawa sie haoooo kuchukua ubingwa wa 20 EPL...

YNWA
 
Bwana wee nyuma ya pazia kuna mambo mengi sanaaa...

YNWA
 
Koeman ana kazi ngumu sana na huyu Messi..

Na kwa vile uchaguzi mwakani ni kama anamharibia Josep Maria asirudi tena.. Huyu raisi ndio Messi anadai kuiharibu timu na jopo lake..

Messi kalazimishwa na mazingira kubakia pale..

Mwili upo Catalan lakini kimawazo yupo Ethad...

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…