Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jota atakuja akushangaze hata ujio wa mane wanakop wengi hawakuelewa lkn mane alikuja kuwaprove wrong!

Kaka sijaponda ujio wa Jota hata kidogo, Kilio changu kilikuwa usajili! Na Timu imeshasajili why nisifurahie? Nilichohoji kilikuwa ni thamani yake halisi tu.

Enewey! Sidhani kama kuna Mtu aliyewahi kuhoji usajili wa Sadio Mane.
But ni tabia ya Washabiki flani Hivi wa Liverpool kila Klopp anaposajili baada ya Msimu mmoja huja wakasema "Klopp alipomsajili mchezaji Flani Hamukumuelewa". Kauli hizi huwa hazina ukweli.
 
Hapana watu wawili tofauti kabisa
Nipo JF toka 2010 kwa jina hili hili
Mwana Liverpool HALISI asiye itukana team ikiwa inafanya vibaya,huyo mwingine anaishangilia Liverpool ikiwa inashinda tu
@Malafyale bhana [emoji23][emoji23]

Mzee wa Suti ya EPL
 
I like this attitude

Deep down you know the reality

Chelsea hamko strong kabisa and there will never be a day zouma can be a good defender

And you Kepa/Kipa isour biggest glory
 
Hella ya jota ni bora wangenunulia Werner, hella nyingi mchezaji wa benchi, upuuzi mtupu
 
Mkuu huyu Jota ni bench wormer pale Wolves, sijui klopp kaona nini kwake enewei subiri tuone yasije kuwa ya minamino

Pale mimi naona tumepigwa wazi wazi ..hata huyu Thiago ligi itamshinda tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tumepigwa au mmepigwa, kwan we unashabikia Lipuli
 
Una uchungu na hiyo hela zaidi yao!

Wewe na klopp nani anajua anachofanya?
I never question what Klop likes, kimpira ananizidi mbali sana na ni proven coach, ila hamna asiejua kuwa klop alimtaka werner, na jota kaja kwasababu ya dili la Hoever, yote kwa yote liver sio team ya kumnunua bench warmer kwa bei hyo, though he might surprise me, wachezaji wengi hao akina mane, keita, salah, Jini, wote alowasajili wakaperform sana walikuwa tegemeo kwenye team zao
 
Hapana watu wawili tofauti kabisa
Nipo JF toka 2010 kwa jina hili hili
Mwana Liverpool HALISI asiye itukana team ikiwa inafanya vibaya,huyo mwingine anaishangilia Liverpool ikiwa inashinda tu
Huyo mwingine ndo cop halisi sasa, kwanza anahudhuria mara nyingi Anfield, anajua kuuchambua mpira utafikiri kazaliwa nao, yupo vzr, sasa wewe Mr. naniliu mpira unaangalia vibanda umiza kama mimi unajiita Liverpool halisi, si dhihaka hiyo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…