salaam kops wote.
First half 3-2. Wachezaji wetu ni wale wale ila timu sio ile ya msimu ulioisha. Kuna shida kweye backline yetu. Kuna kutokuelewa kwingi haswa wale wa kati. VvD na Gomez.
Kukosekana kwa Fabby ndio chanzo cha kupoteana kwa beki zetu.
So far tunaongoza. Klopp aangalie haya mapungufu na yafanyiwe kazi.
Salah bado ni moto mkali. Bobby leo hayupo vizuri.
Haya 3-3 kuna mtu anajifanya nunda kusajiri,tuone kiburi chake kitafika wapi na hapo hao watoto wamepanda daraja sio level yetu kabisa na tupo nyumbani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.