Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Kama atakua injury free basi huyu msimu 2022-2023 utamuona tena Anfield na jezi namba 9 inamhusu...Yes dogo anajiamini kuwa anaweza kukiamsha EPL so anataka timu Za epl sio mkopo wa championship.
Ndo maana wa nataka kumuuza lakini kuwe na kipengele cha kumnunua tena baadae. Kwa bei wanatakayoweka Liverpool.
Utakua hujanielewa na mimi pia Sancho ana umli gani anang'ara tayali huyo brewster anamsubili nani?Mkuu umeelewa nilichoandika hapo kweli?
Ipo hivi Rhian kwetu ni raw talent kabisa hivyo nimesema nilitarajia apewe nafasi hapa hapa atimize ndoto yake...
Nikasema pia yatatukuta ya Sacho, unafahamu Sacho wakati anaodoka Citizens hakua proven kama alivyo sasa.. Hili linaweza kutokea kwa Rhian kwani bila majeruhi anaonyesha dalili zipo atakuja kua moto..
Uwezo wa Greenwood, Mason au Foden bila kupewa nafasi Team A unadhani tungewajua aje kama kiwango..
YNWA
Lini huyu dogo alipewa nafasi kikosini akiwa mzima wa afya?Utakua hujanielewa na mimi pia Sancho ana umli gani anang'ara tayali huyo brewster anamsubili nani?
Jones nafasi kaipataje?
Wachezaji wote wa vikosi vya chini hutegemewa kung'ara
Vipi kuhusu Glujic?
Ngoja nirudie tenaLini huyu dogo alipewa nafasi kikosini akiwa mzima wa afya?
Alikwenda Swansea kwa mkopo January 2020 katika mechi 22 katupia goli 11 sio haba ndugu..
Na huyo Grujic nae lini alikaa klabuni msimu mzima.. Ni mkopo baada ya mkopo..
Wapewe nafasi kama TAA, Rashford, Kane nk tuwaone kama wamo ama hamna..
YNWA
Klopp sio mtu wa ku develop academy graduates hata siku mojaNgoja nirudie tena
Unazani kwa nini hapewi nafasi kama hao ulo wataja?
Sasa sijui jamaa kalishindwaje hili swali ha haaaKlopp sio mtu wa ku develop academy graduates hata siku moja
Tokea mwaka 2015 anafika niambie ka develop our academy graduates wangapi kama sio mmoja ambae ni Trent?
Cheki Chelsea, Arsenal,United, Spurs
Nikikuanzia Chelsea kuna Christensen kuna Loftus-Cheek kuna Odoi na wengi
Arsenal kuna madogo wengi usipime wamefanyiwa promotion baada ya kugraduate Academy nikiwataja wachache Niles,Saka,Nketiah, Willock, Nelson etc
Spurs pale kuna Tanganga kuna Walker ,Walker peters, Kane, Winks, Skipp, sijui nani nani huko yaani wengi
Our Archrivals Kuna Rashford, McTominay,Perreira, Lingard, Greenwood, Fosumensah,Brandon, Henderson etc
Sisi hapa yuko Trent tu na yawezekana huyo Curtis msimu akaishia kuchezea U-23 huko
That's the dark side of our German gaffer
Hata humu kuna watu hawataki kusikia hizo habali za chipukizi wanataka proven player Liver sio tim ya majaribio sijui akademi za nini?Na pale dogo ambae tutajuta ni Harry Wilson maana umri unamtupa mkono
Klopp huwa hataki hasikii habari za kuinua wahitimu wetu
Hata humu kuna watu hawataki kusikia hizo habali za chipukizi wanataka proven player Liver sio tim ya majaribio sijui akademi za nini?
Ni majeruhi ndugu...Ngoja nirudie tena
Unazani kwa nini hapewi nafasi kama hao ulo wataja?
Ishu ni pale sasa hanunui na hawa wa academy nao hawatakiwi wamechoka kupelekwa kwa mkopo huku na kule...Na pale dogo ambae tutajuta ni Harry Wilson maana umri unamtupa mkono
Klopp huwa hataki hasikii habari za kuinua wahitimu wetu
Kuna mambo kocha anatuangushaIshu ni pale sasa hanunui na hawa wa academy nao hawatakiwi wamechoka kupelekwa kwa mkopo huku na kule...
Huyu Milner alitakiwa aachiwe mazima Leeds wangemchukua ndio nafasi za akina Wilson, Jones nk zipatikane...
Bora Kent, Camacho, Chirvela, Suso walishachomoka zao mapemaaa...
YNWA
Ana imani na vijana wake wamepambana mno misimu hii mitatu aisee...Kuna mambo kocha anatuangusha
hii timu yetu kwenye eneo la kuwapandisha wachezaji wa academy naona kuna shida sana aiseee.......Ishu ni pale sasa hanunui na hawa wa academy nao hawatakiwi wamechoka kupelekwa kwa mkopo huku na kule...
Huyu Milner alitakiwa aachiwe mazima Leeds wangemchukua ndio nafasi za akina Wilson, Jones nk zipatikane...
Bora Kent, Camacho, Chirvela, Suso walishachomoka zao mapemaaa...
YNWA
Aache kulia