OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Rodger!!! Wee wa wapi? Schurle ali shine sana .. nasema hivi hakuna mrejumani aliyefeli Chelsea.Marco Marin Andre schurle na Antony rudiger wote mpira uliwashinda hapo Chelsea.
Kidogo balack
Robert huth kwa mbaliiiiii. Akashine Leicester
Kwani Klopp alianzaje? Kila mtu ana mwanzo wake. Kumbuka lampard hakusajili msimu uliopita kama hao akina arteta na uyo Ole lakini tofauti ya point kati ya Chelsea, manure na Arse8 unaijua.Chelse kwa usajili waliofanya ni Timu nziri lakini Lampard bado hajawa kocha wa kuweza kuwatumia wale Wachezaji.
Hivyo sio rahisi kuweza kuwa hata Title Contender.
To be honest OGS anaweza kumaliza Ligi juu ya Chelsea.
Bora Arteta iwapo atapatiwa Wachezaji wa ushindani kama aliyopatiwa Lampard basi anaweza kuwa Title Contender kwani amepata much experience under Guardiola unlike Lampard aliyevamia ukocha from nowhere.
Hahahah hajui tena mpira wakati ndo mchambuzi bora hapa dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe hujui mpira, umekaa huko Mabwepande unamponda kocha aliyetupa UEFA na EPL.
Nani hayaogopi majogoo?
Subiri bado sita.Hamna timu hapa labda Pulisic na Werner tu ,wengine ni oya oya
Kante zama zake zimeshaisha , hiyo back 4 had kipa wote wachomaji
Wewe ulicheza na nani vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa hawaelewi, sijuzi wamecheza na Brighton,
Nilicheza na huyuWewe ulicheza na nani vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1560347
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ok [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilicheza na huyuView attachment 1560365
Ila King kama huvuti Ganja mamaangu nakufa leoUnaweza uliza Nyerere alikufa mwaka gani?
Wa kwanza akajibu: ni mwaka 1999
Wa pili akajibu kumpinga wa kwanza: Ni mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa 2000.
Ndiyo sawa na hichi ulichokiandika hapa [emoji117] "Binafsi sioni haja ya kufanya usajili mkubwa zaidi ya kuongeza mchezaji mmoja ( Striker) ama wawili".
Mkuu hatujasema tusajili Timu nzima kama Chelsea! Usajili tunaoulilia ndiyo huo wa mchezaji mmoja au wawili! Je wamesajiliwa?
Hahahah hajui tena mpira wakati ndo mchambuzi bora hapa dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
The MF maestro can't give you 20 games consecutively in EPL...
Daah Timo ilikuwa mapema tu...inauma sanaNi aibu kubwa sana eti tumemshindwa Timo kwa sababu ya Covid yaani huu ni usanii kabisaaaa hawa jamaa wanajali zaidi ela inayoingia kwao kuliko kuboresha kikosi...
Msimu uliopita EPL timu nyingi zilipoteana na sisi tukawa angalau ndio maana tukawa vizuri kujikusanyia pointi za kutosha...
Msimu huu kila timu inajapanga kwanza kujiweka sawa ili kutushusha pale juu hivyo tutegemee mambo kwetu yatakua tight mnoo...
Msimu huu tukipata nafasi ya tatu itakua kwa baraka za Mola..
YNWA
I agree with you chief.The MF maestro can't give you 20 games consecutively in EPL...
For the 7 years he has been at Bayern just 1 single season he has managed to play 30 league games...
He will be another Keita or Ox...
Now if he is the missing puzzle for Klopp to finally have a plan B when our usual creators in Trent and Robbo are pinned then lets him join rather than finish the signing window without any concrete signing....
Timo we passed, Kai we passed, Traore they want£ 70m, resigning Coutinho hard seems Koeman wonna try his luck with the boy, Grealish £70m..Houssem £50m...and the list is endless...
Well lets wait who knows FSG might do another deal like Fabinho guys...
YNWA
Defence we can take a gamble with Matip fitness since last seaon he didn't turn up as we expected but pancha ni pancha tu wanaweza kuumia wote Gomez and Matip and that will spell doomsday for us.. Hivyo a young established CB should be sort mkuu..I agree with you chief.
my concern with Thiago is that the EPL intensity could prove too much for him.... he could end up spending time on the treatment bench more often than before. needless to mention the fact he's stepping into the wrong side of the dreaded 30-mark only next season. if we land him for anything below 20M quid - hell, why not... but not for a penny more!
this is my general opinion on our squad....
1. Defence (4):
leave as it is.
2. Midfield (3):
don't fix it if it ain't broken.
keep Gini.
give more gametime to Keita & Jones.
TAA occasionally for midfield anyone?
3. Front 3 (3):
here something needs to give. Mo & Bobby have this "habit" of being spectacularly rubbish in moments. so, let's have some competition there.
of the front 3, Mane is the only one who's got this flexibility to play any position uptop.
so what do I do now?
I sign Traore... oh I love this kid!
he's got this versatility like Mane.
I'll bite someone's hand if he gives me this boy for 50M!
Yaani acha ndugu...Daah Timo ilikuwa mapema tu...inauma sana
I agree with you chief.
my concern with Thiago is that the EPL intensity could prove too much for him.... he could end up spending time on the treatment table more often than before. needless to mention the fact he's stepping into the wrong side of the dreaded 30-mark only next season. if we land him for anything below 20M quid - hell, why not... but not for a penny more!
this is my general opinion on our squad....
1. Defence (4):
leave as it is.
2. Midfield (3):
don't fix it if it ain't broken.
keep Gini.
give more gametime to Keita & Jones.
TAA occasionally for midfield anyone?
3. Front 3 (3):
here something needs to give. Mo & Bobby have this "habit" of being spectacularly rubbish in moments. so, let's have some competition there.
of the front 3, Mane is the only one who's got this flexibility to play any position uptop.
so what do I do now?
I sign Traore... oh I love this kid!
he's got this versatility like Mane.
I'll bite someone's hand if he gives me this boy for 50M!