Mimi huwa nipo tofauti na watu walio wengi huwa sipendi kuwa nabii kwamba ikifika kipindi fulani timu fulani itayumbaHizi ndio habari wqnapenda kusikia Arsenane. Hapa kila fan atakayeputa atalike, comment na kubusu simu zao juu ya hii comment[emoji23][emoji23][emoji23]
Tusubiri msimu huu uanze hawafiki Nov hawa wataanza vibweka vyao.
Arsenal haijawahi kubadilika. Wakati utakujibuMimi huwa nipo tofauti na watu walio wengi huwa sipendi kuwa nabii kwamba ikifika kipindi fulani timu fulani itayumba
Daima natembea na wakati uliopo 'yajayo' huwa nayaachia 'WAKATI'
Kwani unaumia sana.? [emoji23]
PoaHizi ndio habari wqnapenda kusikia Arsenane. Hapa kila fan atakayeputa atalike, comment na kubusu simu zao juu ya hii comment[emoji23][emoji23][emoji23]
Tusubiri msimu huu uanze hawafiki Nov hawa wataanza vibweka vyao.
Hii team haina hela za kusajili ni maskini Sana tembezeni bakuli basi [emoji23][emoji23]
Aisee hili ndugu yangu kwangu naona sio sawa kabisa..Mane ataacha pengo kubwa sana wadau
Hilo ni pigo hasa
Tusichukulie kiurahisi kuondoka kwa Mane
Basi nasubiria WAKATI ila kwa sasa hivi wako vizuri
Bobby nilidhani niko peke yangu maana ni toka muda tu naona kama hatoshi kuwa ForwardAisee hili ndugu yangu kwangu naona sio sawa kabisa..
Mane akiwa kwenye peak ni hatari zaidi ya Salah, Bobby nk
Huyu angestaafu hapa hapa...
Walivyo FSG washaona kuna faida ya kutosha walimnunua £25m sasa wanauza £90m aafu wanamnunua replacement Sarr kwa £40m haha chezea FSG na Edwards lol..
Kama lazima kuuza ili tununue basi wauzwe Salah[emoji848][emoji848]ama my boy Bobby [emoji3][emoji3][emoji3]
YNWA
Bwana wee yupo dry spell hatari sana aisee...Bobby nilidhani niko peke yangu maana ni toka muda tu naona kama hatoshi kuwa Forward
Wewe jamaa utaumwa Kiharusi mwaka huu , shauri yako