Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Ka kweli TAA apatiwe mbadala wake haraka sana Leo hayupo tumeona madudu yaani sasa siku akiumia je..? Atacheza uyu janja mzembe?
Robo maji anayomwaga yote haya yanapitiliza .kati atuna finisher wa ukweli Leo mpk kina vvd wapande..
Firmino kwasasa si mchezaji wa kutegemea tena
