Mess akitua etihad
Hakuna timu itakayotoka salama, ikiingiza miguu yake pale
Hasa hizi kuku
HahahahahahahahahKinacho angaliwa ni currently unafanya nini? Record ipo ili ivunjwe sasa wewe endelea kukaza kaza na porojo zako.View attachment 1548803
Kama bado unaamini kwenye kuna kubahatisha basi unachelewa sana ndugu. Mpira ni mchezo wa makosa ukizembea unawekwa ndio kilichotokea kwa PSG walipata nafasi za kushato wakashindwa kuzitumia.Yani Chelsea kubahatisha kushinda hii CL ishakuwa balaa! Kumbe bora PSG alivolikosa.
Anakuja kusinya miaka khamsa[emoji1609]Vipi Havertz kasaini Chelsea Mkataba wa miaka mingapi? [emoji23][emoji23]
Usinihurumie mimi mkuu, wahurumie Arsenal maana tunajua hali zao siku zote zinakuaje.Msimu uliopita mulikuwa na vijisababu tele kuhusu Lampard kusaini.
Sasa Msimu huu sijui mwisho wa Msimu mutasemaje? [emoji23][emoji23]
Pulisic
Ziyech
Werner
Thiago Silva soon
Chillwel soon
Lakini hapo kwa Chillwel jiandaeni kipigwa kama Manure walivyopigwa kwa Bondia [emoji23][emoji23]
Anakuja kusinya miaka khamsa[emoji1609]
Manyumbu ni kama maji ya shingo kwa Sancho nahisi wanaogopa yasije tokea kama ya Depay, Sanchez au Kagawa.Kwahiyo mumekubaliana na Manure kuwa siku wao wakimchukuwa Sancho ndiyo na nyinyi mumchukue Havertz? [emoji23][emoji23]
Ni jambo la mda tu, deal lishakamilikaVipi Havertz kasaini Chelsea Mkataba wa miaka mingapi? [emoji23][emoji23]
Manyumbu ni kama maji ya shingo kwa Sancho nahisi wanaogopa yasije tokea kama ya Depay, Sanchez au Kagawa.
Lallana lovren Clyne jumla ni 240,000/Kujikaza kwenye Mshahara si rahisi kwani anaweza kutaka £500K au £450K per week jambo ambalo ni ngumu kwa Timu yenye Limited Budget kama Liverpool.
Lallana lovren Clyne jumla ni 240,000/
Tunepokea 10mil pound kwa lovren.
Pia kwa Wilson hatukosi 20 mil. Grujic hatukosi 10 plus mil. Shaqiri hatukosi 10mil plus. Hapo hatushindiw kumlipa mishahara. Tena hapo akisajili tu atarudisha 70% ya hela kwa kuuza vitu.
Plus kumbuka tuna 175mil pund ya kuwa bingwa hapo sijaweka ya TV rights na mazagazaga mengine.
Hatushindwi sema tu Klopp anaonyesha hapendi majina mkubwa. Ndo maana alimtakaga Mbape akiwa bado dogo but now wala hana mda nae.
AU uza kabisa salah leta Messi.
Lallana lovren Clyne jumla ni 240,000/
Tunepokea 10mil pound kwa lovren.
Pia kwa Wilson hatukosi 20 mil. Grujic hatukosi 10 plus mil. Shaqiri hatukosi 10mil plus. Hapo hatushindiw kumlipa mishahara. Tena hapo akisajili tu atarudisha 70% ya hela kwa kuuza vitu.
Plus kumbuka tuna 175mil pund ya kuwa bingwa hapo sijaweka ya TV rights na mazagazaga mengine.
Hatushindwi sema tu Klopp anaonyesha hapendi majina mkubwa. Ndo maana alimtakaga Mbape akiwa bado dogo but now wala hana mda nae.
AU uza kabisa salah leta Messi.
Kama ninyi mlivyopigwa kwa minamino.Chillwel mumepigwa! Trust me, Time Will Tell
Tusubiri mudaKama ninyi mlivyopigwa kwa minamino.
Sajiri yoyote ni kamari. Ngoja tuone itakuajeChillwel mumepigwa! Trust me, Time Will Tell
Kama ninyi mlivyopigwa kwa minamino.
Sajiri yoyote ni kamari. Ngoja tuone itakuaje