Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Sawa sawa.

Mimi pia naweza kukutajia kikosi cha Sweden kilichoingia Fainali mwaka 1958, nikiwa bado sijazaliwa.
 

Didier Dischamps alikuwa anavaa Jezi namba ngapi?
 
Wewe dogo wacha uwongo, kuna mafile yako nimeona umezaliwa 1999[emoji23][emoji23] hiyo miaka 9+ uliipata wapi?
 
Hakuna mashabiki wenye matusi plus kauli chafu Kama mashabiki wa Liverpool,sema tu msimu huu umewaendea vizuri ndiyo maana wanajifanya wastarabu.
 
Anamjua kwanza? Huyu hata ukimtajia kizazi cha kina Damian Duff na hawajui,....

Ila anamjua FRANCISCA ZOLA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo pia nimemtajia mchezaji Rahisi ambaye ni maarufu! Bora ningemtajia japo yule aliyekua Mla Unga wao Adrian Mutu.
Huyo Duff hajawahi hata kumsikia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…