Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tumepeleka Β£44m + Guendouz wamegoma wanataka Β£55m cash
Lol Β£55m cash upfront... Basi wapeni ofa ya angalau Β£60m ila mlipe design ya Pepe kuliko hio cash.. Hio itawagharimu maana boss kubwa Stan kama ma bosi wetu utamsikia lazima muuze ili kununua...

All the best ndogo ni fundi... Na bila corona itakua bei zaidi ya hio..

Yupo mwingine huko huko Ufaransa Camavinga chini ya kocha dynamic atakuja kua πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯...


YNWA
 
Nyumbu bhana! Eti Maguire hawamtaki hafai [emoji23][emoji23]

Kenge hawa Walipomsajili walikuwa wakisema ni Zaidi ya VVD pumbavu zao!

VVD ni Beki wa Sayari nyengine!
hahahaaa ila kwa yule walilamba garasa....... 80m pale ni hasara kubwa sana[emoji23]
 
Β£80m

Naona Leicester wanatafuta mwingine wampige kwa Chillwell View attachment 1540014

Nakumbuka last season walivomkosakosa Mtu kwa Madison πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lakini nina uhakika kati ya Manure na Chelsea lazima mmoja wapo atapigwa kwa Chillwel πŸ˜‚πŸ˜‚

Lakini masihara mbali na Nyinyi mulikoswakoswa kupigwa kwa Thomas Lemar (Β£90M) na Wilfred Zaha (Β£75M) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sijui Shetani gani nikamnyonge aliyewazindua Punda nyie πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…