Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Huyu mtu tangu ule usiku wa UEFA sura yake imekuwa ya huzuni tangu siku hiyo
Huyu mtu tangu ule usiku wa UEFA sura yake imekuwa ya huzuni tangu siku hiyo
Well said man..Liverpool FC haiwezi kuwa kubwa kama washabiki tunavyotaka iwe.
Matajiri wanatuangusha.
This time with genius Klopp was supposed to be the time we dominate Europe and The World.
Very unfortunately, FSG have different mission, to make super normal profit out of this.
Kama tungekuwa tuli address swala la creative mid mapema, Atletico wasingetutoa, hii UEFA iko so open, tungefika mbali.
Kama tutaendelea na kiburi chetu cha kutumia mashambulizi kutoka kwa TAA na Robertson, tusahau UEFA, tuendelee kupambana PL peke yake, hata FA ni ngumu kwetu kwa sababu game za mitoano tactics ni nyingi na ni rahisi watu kushutdown mfumo wako kwa sababu unatumia style moja tu.
I hate to admit kwamba UEFA itakuwa mlima kwetu kama tunaendelea na usajili kama huu.
kwanini tulienda dk 120 in the first place?....... mkuu mimi simtetei Adrian yule ni another karius yes, ila ukweli unabaki pale pale ile timu yetu yote ilifail big time!
kule spain wakishindwa hata shuti moja golini, yaani wakitoka SIFURI (zero kabisa)!...... Anfield ndani ya dk 90 za mchezo goli moja tu then tuseme tulikua bora?
over two legs hatukua bora ndio mana tukitolewa, tusijifiche kwa Adrian mkuu wangu!........ kama ni kutafuta upgrade ya Adrian sawa tutafute lkn hilo liwe baada ya ku-upgrade kule mbele na mido.....
tunahitaji wabunifu kwenye mido zaidi ya hendo na gini, tunahitaji striker muuaji akapambanie namba na kina firmino...... failure to do that next season tutakua hapa kumlaumu mbuzi wa kafara mwingine maana our darling lovren kaondoka[emoji23]
Well said man..
Let's see kama bila kuuza this guys can put solid cash to buy the players Klopp want..
FSG ni waumini wa sell first and buy later..
Hapa watakua behind the scenes wanajaribu pengine kuwauza akina Shaqir, Origi, Wilson, Grujic nk... Ili huo mkwaja waje wanunue wachezaji.. Shinda ni pale muda ni mchache mno..
Kwa sasa ni kusubiri ndugu hamna namna..
Ukweli ni kwamba Klopp needs a new dimension uwanjani without necessary awaiting miracles from TAA na Robbo.. He need a serious AM who can operate on either flank with a scissor type kind of last pass to unblock teams kama A. Madrid..
Hilo lipo wazi mno but muda utasema..
YNWA
Huyu mtu tangu ule usiku wa UEFA sura yake imekuwa ya huzuni tangu siku hiyo
Mkuu usiku gani huo wa 10:00 AM!!!?Haya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari
huyu dogo naomba sana afanikiwe aiseee,.......
kabisa mkuu, we have to admit it japo inauma sanaTimu nzima ilitufelisha, wakati naangalia ile game, kuna mdau nilikuwa nimekaa naye nikamwambia kwamba Adrian siyo mzuri wa kurudishiwa mipira (hili hata Alisson siyo mzuri, ila anajitahidi), na kwa jinsi kina VVD walivyokuwa wanarudisha mipira hovyo nikasema kuna goli hapa litakalotokea kwa sababu ya huu uzembe.
Ikaja kuwa kweli.
Ila jumba bovu lazima lipate wa kumwangukia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari
Naye hamna kitu ni Origi mchangamfu ni overrated tuhuyu dogo naomba sana afanikiwe aiseee,.......
nitaumia sana akiishia njia ya wilson, rossiter, chirivella, kent, suso and ofcourse ben woodburn..............
mkuu inawezekana hiyo game itachezwa hawaii[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu usiku gani huo wa 10:00 AM!!!?
hahahaaaaaa.......Naye hamna kitu ni Origi mchangamfu ni overrated tu
Haya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari
AhhahahahahaaàMaskini Sterling alisema anakwenda kushinda makombe makubwaaa sasa anakwama wapi kweli kukosa sitter kama ile seriously...
Sterling is also cursed guys...
My weekend just got better..
Msimu huu Manchester City wametoka na vi mickey cup viwili tu Carabao na Community Shield hahahaha...
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiku wa 10:00 AM naona hiyo itakuwa Jupiter.Haya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu usiku gani huo wa 10:00 AM!!!?