Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Error ni error tu mzee baba awe amefanya Adrian, Allison, Lovren au Dyik na ikai cost team kwa namna yoyote inahesabika kuwa ni error. Na errors are part of mchezo pia
I know the difference between errors and blunder but so far huwezi tu kusema errors ni for certain players na wengine wakifanya tuite blunders both may happen to all players.Ninapoitazama comment yangu na ulichojibu wewe mpaka hapo napigwa na butwaa!
learn to differentiate between error and blunder
Ww sema unataman kusikia liver kasajili jina kubwa uvimbe kijiwen wamechoka kwan klop hawaon..........mbona msimu uliopita hakusajil hata mmoja mkapiga sana domo man city alivyosajil wachezaj lkn tumechukua ubingwa mbele ya hao man city kwa point zaid ya 20ngoja na sisi tuendelee kusema front 3 isiguswe, barça yamewakuta kwa sababu ya kuendekeza huu ujinga wa flani na flani wasiguswe!
hendo,gini,firmino wamechoka, zije damu mpya vinginevyo tutaendelea kumsingizia Adrian wakati timu overall ilikua mbovu!
kwanini tulienda dk 120 in the first place?....... mkuu mimi simtetei Adrian yule ni another karius yes, ila ukweli unabaki pale pale ile timu yetu yote ilifail big time!Unachopaswa kufahamu kila mchezaji hufanya makosa ila pia tunaangalia na rate ya makosa kwa kila gemu na pia mchezaji anaisadiaje timu ktk mechi muhimu. Forward yetu mpaka dakika ya 95 ilifunga goli 2 and was enough to make us qualify next stage, Becker conceded 3 goals at camp nou and got screen sheet at anfield so unataka kunambia barca wanafoward mbovu? No Becker alijua hii gemu ni muhimu kuruhusu goli hata moja ni hatari, utakumbuka barca walihitaji goli moja tu ili wafuzu na wangeli-score yale magoli 4 we scored yasingelikuwa na maana kabisa. Kama uliona vizuri coutinho alipeleka kishutu pembeni kisicho na nguvu lkn kilikuwa na madhara makubwa mno, Becker alikuwa mbali lkn alikunjua utadhani kaumbwa kwa elastic material mpaka akauziia that ball kuzama nyavuni, hapa ndo tunatoa credit kwa wachezaji wanaokuwa serious ktk gemu muhimu kama hizo.
waaaohh MR BINGO ........ kweli tumekula bingo[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Ww sema unataman kusikia liver kasajili jina kubwa uvimbe kijiwen wamechoka kwan klop hawaon..........mbona msimu uliopita hakusajil hata mmoja mkapiga sana domo man city alivyosajil wachezaj lkn tumechukua ubingwa mbele ya hao man city kwa point zaid ya 20
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
tusishangae final kuwa kati ya RB vs OL...... yale yale ya 2004Is Pep Guardiola cursed...
Hakushinda UCL akiwa Bavarians..
Na leo anapigwa na Under dogs Lyon..
YNWA
HahahahahahahahahIs Pep Guardiola cursed...
Hakushinda UCL akiwa Bavarians..
Na leo anapigwa na Under dogs Lyon..
YNWA
Is Pep Guardiola cursed...
Hakushinda UCL akiwa Bavarians..
Na leo anapigwa na Under dogs Lyon..
YNWA
Maskini Sterling alisema anakwenda kushinda makombe makubwaaa sasa anakwama wapi kweli kukosa sitter kama ile seriously...tusishangae final kuwa kati ya RB vs OL...... yale yale ya 2004
Kabisa ndugu hawa vijana wa Mansour wameisoma namba Lisbon...UEFA Champions League ina wenyewe
Bwana wee Lyon hawaku panic wamecheza mpira wao Pep akajifanya mtalaam wa mfumo na kikosi hata sijui alibeti maana kwa kikosi kile amepigwa chache..tusishangae final kuwa kati ya RB vs OL...... yale yale ya 2004
Hahaha kumbe wewe Pep humjui that man mafanikio yamemlevya he see himself as the best of the best top top gaffer na his pride is his problem..hahahaaaaaaa 3-1....... arudi barça akaendelee kuyajenga na Messi
kwakweli mimi nimefurahi sana, niliumia sana chelsea waliposhinda hili kombe.... hizi timu zinazomwaga hela kama vichaa natamani ziendelee kulisikia redioni[emoji23]Maskini Sterling alisema anakwenda kushinda makombe makubwaaa sasa anakwama wapi kweli kukosa sitter kama ile seriously...
Sterling is also cursed guys...
My weekend just got better..
Msimu huu Manchester City wametoka na vi mickey cup viwili tu Carabao na Community Shield hahahaha...
YNWA