Ni tajie huyo Goalkeeper wa Big club like Bayern,Barcelona Juve ,Real ,PSG anayeweza kukubali kuwa Backup kukaa Benchi nusu ya msimu mzima.Wanakop tunakwama wapi? Sawa hatuwezi kupata starting goalie kutoka big clubs kama barca, Bayern, juve, real au PSG ndo tukaokote kipa aliyekosa timu tena hata midtable club kama west ham imeona hafai hata kwa backup, liver ndo angefaa? Gerald ana heshima kubwa liver lkn ilifika muda akaondoka pale anfied ije kuwa Adrian?
Vitu vya upendo kabisaView attachment 1537856
Mmoja kapigwa 7 mwingine 8 [emoji23][emoji23][emoji23] kudadek wote ni pipa na mfunikoKati ya Chelsea na Barca nani alikuwa bora zaidi dhidi ya Bayern...??
Nionyeshe wapi nimependekeza Liverpool isajili starting goalkeeper kutoka hizo timu kubwa, kuna watu ni mnavipaji vya kulisha watu maneno, najua sio rahisi kumsajili stegen aje kuwa backup liver, lkn je hatuwezi kupata kipa mwenye kiwango zaidi ya Adrian away from those big clubs? Kila mchezaji hufanya makosa je ndo iwe sababu ya kuvumilia mchezaji anayefanya makosa kila gemu muhimu? Aisee Kops tukwama wapi mbona tunakwama ktk constructive arguments?Ni tajie huyo Goalkeeper wa Big club like Bayern,Barcelona Juve ,Real ,PSG anayeweza kukubali kuwa Backup kukaa Benchi nusu ya msimu mzima.
Halafu Adrian sio mchezaji wa kwanza kufanya Individual Error Liverpool Becker huwa hafanyi Errors, Van Djik huwa hafanyi Errors, Salah huwa hafanyi Errors na wao pia tuwatafutie Backup team like Bayern, Barcelona, PSG.
Adrian kwa uwezo wake amejitahidi tumpe Respect.
mkuu kule madrid tulikua na shots on target 0 (zero)!, tukapigwa 1-0 gk alikua Alison.Adrian tunamsingizia kwa lipi mkuu? Firmino na gini ndo waliachia magoli yaingie gemu ya ATM?
maneno ya kiswahili hayako specific sana Adrian played 11 in EPL and conceded 9 games naamini ulimanisha haku-lose lkn kufungwa alifungwa sana tuThere you are boss.
Alicheza around 9-11 za ligi hakufungwa.
He deserves respect.
Adrian hana kosa hapo, makosa yapo kwa firmino, gini na Henderson make walikuwa hovyo mno siku ile!mkuu kule madrid tulikua na shots on target 0 (zero)!, tukapigwa 1-0 gk alikua Alison.
Anfield gk akiwa Adrian tukashinda 1-0 ndani ya dk 90, goli la gini.........
haya niambie mpk hapo kosa la Adrian liko wap? shida ni kwamba tunaona Adrian ndiyo mbovu kwa vile ni rahisi kumfanya mbuzi wa kafara, he is not that popular!
mkuu foward wetu ndani ya dk 180+ walifunga goli moja tu nalo la gini, tutamlaumu vipi kipa ambae alikua na clean sheet ndani ya muda wa mchezo (dk90)?............Mkuu kwa kweli nikiri gemu ya ATM ilikuwa ni gemu ya makipa, ATM had a world class golie sie tulikuwa na pazia, kwa ujumla ile gemu hatukucheza vibaya. forward, middle na beki they played their best levels, tukija upande wa fsg kwa kwel hawa jamaa wanatuangusha sana, midtable clubs kama west ham inaweza kuvumilia kipa wake hata kama anafungwa kila mechi, lkn ikifikia inasema huyu sasa basi ujue huyo mchezaji ni tatizo kubwa, ajab eti timu kubwa kama liver ikamuona ni dodo. Ni afadhali angekuwa kipa aliyetemwa na clubs kubwa make big clubs hata kosa la Bahati mbaya mchezaji anakuwa fired.
Barcelona Goalkeeper no2 wao ni Neto ana miaka 31 wamemtoa Valencia.Nionyeshe wapi nimependekeza Liverpool isajili starting goalkeeper kutoka hizo timu kubwa, kuna watu ni mnavipaji vya kulisha watu maneno, najua sio rahisi kumsajili stegen aje kuwa backup liver, lkn je hatuwezi kupata kipa mwenye kiwango zaidi ya Adrian away from those big clubs? Kila mchezaji hufanya makosa je ndo iwe sababu ya kuvumilia mchezaji anayefanya makosa kila gemu muhimu? Aisee Kops tukwama wapi mbona tunakwama ktk constructive arguments?
Ok asante swali zuri ngoja nitaje wa EPL make nikitaja nje ya EPL mtasingizia hana uzoefu na EPL, pope wa Burnley liver tunashindwa kulipa £12 mpaka tukaokote kipa jalalani ambaye hata westham club masikini imeona hafai hata kwa backup? Haya dean Henderson wa Sheffield market value yake £20m liver ikimhitaji ana jeuri ya kukataa kuja kuwa backup? Schimichael wa Leicester anaweza kukataa kuwa backup liver mpaka tukaokoteze kipa aliekosa timu, hoja gani unayotaka mpaka useme nakosa hoja, kama ni makipa wala sio washida wapo wengi mno sema mashabiki wa liver mna kasumba ya kuonea uchungu hela ambazo hamchangii hata senti moja, ndo mnakuja kupinga timu isisajili kwa vijisababu uchwara!Barcelona Goalkeeper no2 wao ni Neto ana miaka 31 wamemtoa Valencia.
Atletico madrid Goalkeeper no2 ni Adan ametoka R Betts
Bayern Goalkeeper no2 ni Utreich ametokea Stuttgart
PSG Goalkeeper no 2 ni wa mkopo Rico kutoka Sevilla
Tumsajili yupi hapa ambaye wewe unamuona ni bora mara 100 kuliko Adrian,Tunatabia ya kulalamika sana wakati hoja hatuna.
Kipenda roho hula nyama mbichi, unakuwa unakuja ni data nusunusu ili kulinda garasa lako, hebu tuzungumzie gemu ya pale anfield, usilete habari za dkk sijui 180 na blabla nyingi, tangu awali nimesema ile gemu ilikuwa ni ya makipa, ATM alipigiwa on target 11 and conceded 2 goals liver alipigiwa on target 3 and conceded 3 goals, ni aibu kubwa sana liver kupigwa come back tena anfield na lawama zangu zote ni kwa Adrian make beki ilimlinda sana.mkuu foward wetu ndani ya dk 180+ walifunga goli moja tu nalo la gini, tutamlaumu vipi kipa ambae alikua na clean sheet ndani ya muda wa mchezo (dk90)?............
natamani tuangazie zaidi makosa {UBOVU} ya timu as whole, na sio kumpa lawama mtu mmoja wakat kiukweli timu yetu baada ya mapumziko mafupi yale haikurudi tena mpk ligi inaisha!
Unalaumu vipi timu ni nzima we middle na forward mpaka dakika ya 95 zimeshaikikishia timu kusonga mbele kwa ushindi wa goli 2 kavu, linakuja pazia linaruhusu magoli 3 mepesi ndani ya 20 halafu mnasema linaatahili heshima, heshima gani sasa?mkuu foward wetu ndani ya dk 180+ walifunga goli moja tu nalo la gini, tutamlaumu vipi kipa ambae alikua na clean sheet ndani ya muda wa mchezo (dk90)?............
natamani tuangazie zaidi makosa {UBOVU} ya timu as whole, na sio kumpa lawama mtu mmoja wakat kiukweli timu yetu baada ya mapumziko mafupi yale haikurudi tena mpk ligi inaisha!
Nani kakwambia Dean Henderson anataka kuwa backup?Ok asante swali zuri ngoja nitaje wa EPL make nikitaja nje ya EPL mtasingizia hana uzoefu na EPL, pope wa Burnley liver tunashindwa kulipa £12 mpaka tukaokote kipa jalalani ambaye hata westham club masikini imeona hafai hata kwa backup? Haya dean Henderson wa Sheffield market value yake £20m liver ikimhitaji ana jeuri ya kukataa kuja kuwa backup? Schimichael wa Leicester anaweza kukataa kuwa backup liver mpaka tukaokoteze kipa aliekosa timu, hoja gani unayotaka mpaka useme nakosa hoja, kama ni makipa wala sio washida wapo wengi mno sema mashabiki wa liver mna kasumba ya kuonea uchungu hela ambazo hamchangii hata senti moja, ndo mnakuja kupinga timu isisajili kwa vijisababu uchwara!
Leo unamtetea Adrian kisa mpaka dakika ya 90 hakuruhusu goli unasahau kuwa hiyo wala si sababu ya kuondoa ubovu wake kumbuka karius msimu wa 2017/18 tulifika naye hadi final UCL Leo hii kila timu haimtakimkuu foward wetu ndani ya dk 180+ walifunga goli moja tu nalo la gini, tutamlaumu vipi kipa ambae alikua na clean sheet ndani ya muda wa mchezo (dk90)?............
natamani tuangazie zaidi makosa {UBOVU} ya timu as whole, na sio kumpa lawama mtu mmoja wakat kiukweli timu yetu baada ya mapumziko mafupi yale haikurudi tena mpk ligi inaisha!
He is not one among hundred of goalkeepers in big leaguers Europe OK?Nani kakwambia Dean Henderson anataka kuwa backup?
Unaongea unafahamu au limekuja tu kichwani na unalitiririsha kama lilivyokujia?
Henderson yupo kwa mkopo Shieffield akitokea United, na imani yake kuwa anaweza kuwa kipa namba1 pale United, hivyo amesema kama wanataka kumfanya backup bora atimkie katika timu itakayompa nafasi ya kwanza golini....
Kukaa benchi nafasi ya kipa yataka moyo sana, muulize Romelo pale United mpaka kuna baadhi washabiki wa Manchester hawamjui[emoji23][emoji23][emoji23]
Salama Mkuu..Oi niaje mabingwa, long time sana hapana. YNWA.