Mimi nitawasapoti Bavarians huu ubingwa ni wao hakuna wa kumzuiaHuwezi kuangalia Mechi kwa dakika 90 halafu usisapoti upande mmoja kati ya Timu zinazopambana!
Mimi kwenye CL hii nasapoti PSG mpaka Kombe
Inter Milan bado yumo EUL mkuu?Nyie inatakiwa muwasapoti Leipzig kwa sababu kawatoleeni mbabe wenu aliewapiga nje ndani
Inter ana nini cha ziada?Inter Milan bado yumo EUL mkuu?
Ndo muwatafute wawafundishe mbinu
Mkuu mimi CL nipo Leipzig mpaka kombe,kama tutafika lakini fainali .ila vijana nawahamini watamtoa psg.
Mimi nitawasapoti Bavarians huu ubingwa ni wao hakuna wa kumzuia
Mkuu mimi CL nipo Leipzig mpaka kombe,kama tutafika lakini fainali .ila vijana nawahamini watamtoa psg.
Hamna kitu pale yani ni sawa na kushabikia Utopolo tu! PSG anabeba mchana kweupeeee
Mfano mdogo watauonyesha leo kwa watoto wa CatalunyaHamna kitu pale yani ni sawa na kushabikia Utopolo tu! PSG anabeba mchana kweupeeee
Ana mwanaume LukakuInter ana nini cha ziada?
PSG wana mpira wa kawaida sana pale Mbappe ndio mchezaji pekee ukimbana yeye basi umemaliza kila kitu wengine majina tuPsg atacheza fainali ipi mkuu mpaka abebe hilo kombe? psg hiyo mechi na Leipzig ndio mwisho wa Safari yao kurudi ureno.
Psg atacheza fainali ipi mkuu mpaka abebe hilo kombe? psg hiyo mechi na Leipzig ndio mwisho wa Safari yao kurudi ureno.
Bayern anapita leo na kwa City piaKama uliiona game ya PSG vizuri, Mbappe ni game changer, nina uhakika kama Mbappe atacheza kwa hata 80% tu ya kiwango chake, PSG wanaingia fainali.
Leizpig wataishia hapo. Bado kombe nawapa wakongwe, Barca au Bayern. Atakayepita leo.
Bayern anapita leo na kwa City pia
City angechukua ubingwa kilaini iwapo Bavarians angetolewa leo