Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

huyu dogo Dayot Upamecano.. centre back wa RB Leipzig - I think I like the look of him.

he's some beast - calm, elegant, strong and quick. probably a slight upgrade on Joe Gomez.

sitashangaa vultures kama Man City, Manure, Chelsea, etc wakaanza kumuwania.

if Klopp decides to go for Dayot, he's got my vote!
 
Serious Mkuu unataka kulinganisha mauzo ya hao wachezaji wenu na Liverpool walivyo smart kwenye biashara.. Willian hamuuzi kakataa kuongeza mkataba anaodoka bure huyo..
Tazama ndugu yangu..

Mkuu De Bruyne mliuza £18m,
Salah mkauza £15m,
Lukaku mkauza £28m,
Hazard mkauza £87m..
Jumla yote ni £148m..

Liverpool nao waliuza hivi
Torres £50m,
Sterling akauzwo £49m,
Surez akauzwo £65m,
Coutinho akauzwa £142m
jumla yote ni £306m

Kwa hao wachezaji wanne tu Liverpool walipata zaidi £158m kuliko nyinyi...

Hakika huyu Edwards wa Liverpool ni genius kwenye hii biashara..

Huyo Mariana wenu bado sanaaaa..

YNWA
 
Mkuu hii ngumu ndogo aka the Rock kaongeza mkataba juzi tu..

Naamini release clause yake mpya itakua sio pungufu ya £100m maana ile ya awali ilikua £53m..

Pazuri ni kwamba ama miaka 21 hivyo bado muda upo in future kumpata especially aje kama kuchukua nafisi ya VVD in the future..

YNWA
 
You can win Uefa Champions league with Defending......Thanks Leipzig.
Mpira wa ujanja ujanja una mwisho.
 
Mkuu umezungumza ukweli mchungu ambao hawataukubali, ila hizi timu kubwa zikifanikisha sajili wanazohitaji Liver anaenda kuwa mshindani wa kawaida na siyo "undisputed champion "
 
Sisi tumeuza wachezaji ambao hadi sasa wanasumbua Kwenye game. Ukiondoa Balloteli ambaye bado anakipiga nan mwingine apo anakipiga? Suarez na Coutinho bado wanakipiga.

Sisi ndo Chelsea. Tuna hazina kubwa..

#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Mnauza kwa bei gani na sisi tunauza kwa bei gani? Ni mchezaji gani mliuza akafikia bei ya Philipe Coutinho?
 
Hivi

ATM aliwezaje kuwapiga nje ndani???

Mbona anampira wa hovyo, anazidiwa hata MA arsenal
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…