Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu dogo ni hatari sana wakuu, isitoshe ana Assist 11 katika mashindano yote.

Jamal lewis kiukweli sikuwa namuelewa kabisa, hata assist moja hana. Muhimu sasa usajili huu tuhamie kwenye attacking midfielder wa kueleweka hapa huwa tunastruggle sana. CB wa kupartner na VVD hapa naprefer Mbrazil mwenye roho mbaya Diego Carlos au Mualjeria Aisa Mandi.
 
Kuna taarifa ilionesha hatuwahitaji. Mimi pia naprefer tumpate mmoja.
 
Msimu ujao haka katimu kataenda ku floap vibaya mnoo..

Amini Kwamba
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…