Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
That's correctSisi hatuna tatizo la lefta back bali tulikuwa na tatizo la backup ya left back, Na huyu tuliyemnunua ni left back! Hivyo FSG hapa wamenunua Backup player tu wa kumsaidia Robertson ndiyomana hata chaguo halisi la Klopp (Jamal Lewis) hawakulipa kipaombele.
Kwahiyo bado hatujasajili mchezaji wa kuanza.
Hapa FSG wametupiga changa la macho tu waonekane na wao wamesajili kutokana na kulalamikiwa na Mashabiki.
Maguire is world classhapana kwenda old traford ndio dili, huoni maguire alivyopata dili[emoji4]
yeas World class garbage[emoji2]Maguire is world class
That's correct
Hofu yangu hii back up ya huyu dogo ataleta vitu sahihi iwapi Robbo akiumia/kupumzishwa ama ndo tutajikuta tunasema bora Milner aingie ku-cover hapo
Jicho linamuwashaHahaha, yaani wewe jamaa inaonesha una mahaba sana na hii timu.
Siku haiishi bila kuja kutulalamikia.
Mkuu hayo yote uliyosema yanawezekana kwa vile uwanjani tunafanya vizuri ndio maana hata hao Nike wamekuja na ofa nono haswa na wadhamini ama washirika wengine zaidi.. Dili la Nike pekee kwa msimu litaleta Β£70m ni nyongeza ya Β£25m maana New Balance ilikua Β£45m...haya yote yanatokana na timu kufanya vyema uwanjani.. Ili haya yaedelee lazima Klopp apewe wachezaji anaowahitaji ili kuwa na kikosi cha kuleta makombe...mkuu usisahau kuna upanuzi wa uwanja, training complex mpya, mishahara na mengine mengi.........somehow fsg wanaendesha club vizuri, tuko stable sana kwa sasa......
japo ndio pesa hawatoi kivile, ngoja tuendelee kungoja ila tulitegemea baada ya Nike kutua kutakua na usajili wa watu wenye majina
Ukweli ni kwamba kuna Watu humu JF wanaangalia nani anapost ili wao waandike kinyume na yule aliyepost tu!
Mfano mdogo kabisa!
β Klopp alimtaka Auba in and out lakini FSG hawakumsapoti kwa pesa.
β Klopp alimtaka Goretzka lakini FSG hawakumsapoti.
β Klopp alimtaka Pulisic lakini FSG hawakumsapoti.
β Klopp alimtaka Coutinho lakini FSG hawakumsapoti
β Klopp alimtaka Werner lakini FSG hawakumsapoti.
β Klopp anamtaka Kai lakini FSG wanagoma kumsapoti.
Mwisho wa siku anatokea Anasema Klopp hakuwataka hao eti hawaendani na mfumo wake.
Ukweli ni kwamba FSG sasahivi wanaangalia wachezaji wale ambao ni Cheap ndiyo wanawasajili that's why wamekimbilia kutuletea Minamino, Liverpool haikuwa na uhitaji wa Minamino tuache kujidanganya.
Huyu wa sasahivi nawezasema Fine coz kasajiliwa kama backup ya Robbo! Lakini Je ndiyo priority area kwa sasa?
Hivi hatujifunzi kwa walichotufanyia ATM nje ndani?
Watu watafahamu baadae! Tunarudi zama za kina Downing na Lambert.
Bwana wee unajua jambo likishafanyika utasikia mengi.. Inasemekana Liverpool huyu ndogo tumem scout kwa miaka 3 mpaka kuja kumnunua wamejiridhisha anafaa kuja kwetu...That's correct
Hofu yangu hii back up ya huyu dogo ataleta vitu sahihi iwapi Robbo akiumia/kupumzishwa ama ndo tutajikuta tunasema bora Milner aingie ku-cover hapo
Beki mzito kama nini sijuiMaguire is world class
[emoji23][emoji23][emoji23]yeas World class garbage[emoji2]
Mino mimi nilijua sio sababu za kiufundi ila ni kutaka kuliteka soko la Asia.......Ukweli ni kwamba kuna Watu humu JF wanaangalia nani anapost ili wao waandike kinyume na yule aliyepost tu!
Mfano mdogo kabisa!
β Klopp alimtaka Auba in and out lakini FSG hawakumsapoti kwa pesa.
β Klopp alimtaka Goretzka lakini FSG hawakumsapoti.
β Klopp alimtaka Pulisic lakini FSG hawakumsapoti.
β Klopp alimtaka Coutinho lakini FSG hawakumsapoti
β Klopp alimtaka Werner lakini FSG hawakumsapoti.
β Klopp anamtaka Kai lakini FSG wanagoma kumsapoti.
Mwisho wa siku anatokea Anasema Klopp hakuwataka hao eti hawaendani na mfumo wake.
Ukweli ni kwamba FSG sasahivi wanaangalia wachezaji wale ambao ni Cheap ndiyo wanawasajili that's why wamekimbilia kutuletea Minamino, Liverpool haikuwa na uhitaji wa Minamino tuache kujidanganya.
Huyu wa sasahivi nawezasema Fine coz kasajiliwa kama backup ya Robbo! Lakini Je ndiyo priority area kwa sasa?
Hivi hatujifunzi kwa walichotufanyia ATM nje ndani?
Watu watafahamu baadae! Tunarudi zama za kina Downing na Lambert.
agreed, hatuna mbadala wa vvd, akiumia we are done!Mkuu hayo yote uliyosema yanawezekana kwa vile uwanjani tunafanya vizuri ndio maana hata hao Nike wamekuja na ofa nono haswa na wadhamini ama washirika wengine zaidi.. Dili la Nike pekee kwa msimu litaleta Β£70m ni nyongeza ya Β£25m maana New Balance ilikua Β£45m...haya yote yanatokana na timu kufanya vyema uwanjani.. Ili haya yaedelee lazima Klopp apewe wachezaji anaowahitaji ili kuwa na kikosi cha kuleta makombe...
Hio ya kuboresha facilities ndio ilikua kigezo cha Wenger miaka hiyoo na hatimae wakapoteana...
Manchester City waliboresha facilities zao huku sokoni wakiingia mazima...
We need to trend carefully especially with our main stars hitting 27yrs and above.. EPL sio mchezo with just one mistake we are done case study Manchester City alivyoodoka Vin bila kusajili like for like aafu akaja akaumia Laporte walipoteana mpaka Fernandidho alicheza beki.. So sio ishu ya kua na pesa hapana ni ishu ya planning in advance for the unknown..
YNWA
Bwana wee unajua jambo likishafanyika utasikia mengi.. Inasemekana Liverpool huyu ndogo tumem scout kwa miaka 3 mpaka kuja kumnunua wamejiridhisha anafaa kuja kwetu...
Wanadai pia ndogo anacheza vyema kwenye mifumo tofauti yaani 4 4 2 ama 3 5 2 ama 4 3 3 nk hivyo eti hatujakurupuka..
Muda utasema aisee..
On a bright side ni kwamba soko la jezi zetu Ugiriki litaongezeka na mashabiki pia wataongezeka kwani hua wanadhamini sana wachezaji wao wanaojiunga ligi kuu EPL..
YNWA
agreed, hatuna mbadala wa vvd, akiumia we are done!
Hili swala la hawa matajiri ni la kulipigia kelele.
Kama sasa hivi timu iko financially welloff na hawatoi hela, vipi ikitokea timu ikiyumba?
Siku Klopp akiondoka, mjue tunarudi tulikotoka haraka sana.
ππππππ€Haji naniiii...Kama issue ni kuwa alifanyiwa scout kwa miaka 3 then why Jamal Lewis ambaye hajafanyiwa scaout hata msimu mmoja aliwekwa ahead of him? Klopp aliweka First Choice Jamal Lewis akitumia advantage ya Relegation but FSG refused to pay what Norwich walichokitaka! Then Klopp decided to go kwenye host Second choice.
So, Kufanya Scout kwa miaka 3 then Lewis akaekwa ahead of him means he failed to meet scout's demand, agree?
Nina mashaka kuwa kuna Mtu ndani ya Jiji la Liverpool anaact kama Haji Manara wa Ulaya kazi yake ni kucheza na akili za Washabiki wa Liverpool tu. Tunadanganywa!!!!!!!!!!!
kwakweli tusiposain beki wa kati mwenye kueleweka nitashangaa sana, mana last season hatukupata injury serious kwa vvd, mane, trent hata robo, sasa imagine wawili kati ya hao wakiumia sijui hali itakuajeUnaweza kuambiwa eti ni Van Dem Berg ndiye anatayarishwa utadhani kuwa tuna ahadi VVD ataumia labda baada ya Misimu 4 mbele.
Mkuu kama umecheki mechi zote za Liverpool tangu January utakumbaliana nami hata huyo VVD bila majeruhi kiwango kimeshuka kimtindo sishangai kwani kwa misimu miwili mfululizo amecheza mechi za EPL karibia zote home and away na UCL zote kasoro ile moja alikua na kadi ya njano vs Bavaria.. Sasa unategemea kweli na msimu huu mpya wanaoanza kambi tarehe 15/8/20 amepumzika vya kutosha kweliiii ku regain energy...agreed, hatuna mbadala wa vvd, akiumia we are done!
Mbadala wa VVD mhmh itakua Fabinho πββοΈπββοΈπββοΈ hawa watoto hawaaminiki kabisa japo kuna mahala nilisoma eti huyo Sepp atakuja kua usajili wa karne haha well muda utasema..agreed, hatuna mbadala wa vvd, akiumia we are done!
Ni mpumbavu huyu nimemdharau hata kumjibuStupidest comment from a crappy guy