Kocha kama huyo ni wa kumpa budget anayoitaka au mchezaj anaemtaka, ni aina ya kocha ambae ukiwajibika ataifanya timu iwe na heshima milele, madrid ni team kubwa na ina heshima kwasababu ya historia yakeTajiri msomi vp tena?
Huu uzi ufutwe tu hauna hata ladha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebwanae Yaishe! Sikuhizi kila mwenye Akaunti JF na Twitter ni mchambuzi coz its free kugoogle ukakuta misamiati ya DM, CM, CF na AM.
Ahaa kumbe unamaanisha matajiri wanamshushia hazi sio?Kocha kama huyo ni wa kumpa budget anayoitaka au mchezaj anaemtaka, ni aina ya kocha ambae ukiwajibika ataifanya timu iwe na heshima milele, madrid ni team kubwa na ina heshima kwasababu ya historia yake
Sawa Shoga mbabeHuu uzi ufutwe tu hauna hata ladha
nimekupata mkuuKuna vikauli fulani fulani hivi vya Klopp ni kama ishu ni pesa ndugu eti anadai ishu sio kusajili tu mbali kuna kulipa mishahara nk..
Hili la namba Klopp hua analisema tangu zamani kama eti aki point mchezaji la kwanza hua anauliza je nikija Liverpool nitakua nacheza kikosi cha kwanza bla bla, anasema mchezaji kama Timo haji kusugua benchi.. Nionavyo mimi mchezaji uhakika wa namba ni kazi yake uwanjani case study Fabinho..
Kwangu nadhani pesa/namba ni sababu isiyo na mashiko mbali kuahirishwa kwa Afcon kumemmfanya atulie kwa vile sasa Salah, Mane, Keita watakuwepo msimu mzima..
Kingine uhakika wa Mane kwenda Real Madrid ama PSG ni mdogo mno kutokana na madhara ya covid labda yeye alazamishe kuodoka na kwa bei ambayo ni ngumu kipindi hiki, bei yake ilikua £150m.. Ukumbuke kambi ya Mane walikua ni kama ndogo anahitaji changamoto mpya baada ya kushinda mataji yote makubwa na sisi..
Kingine muda utasema aisee Klopp na Edwards sio watu wa maneno mengi sokoni wao hufanya mambo yao kimya kimya sana...
Zipo taarifa tulipeleka ofa kwa Victor Osimhen lakini Napoli walituwai na ndogo bei ni almost sawa na Timo kwa hio tuwe na subira mpaka dirisha lifungwe ndio tutajua nini hawa jamaa wamepanga..
YNWA
Sawa James deliciousSawa Shoga mbabe
Nimekusoma Mkuu bila shaka Torres anatoka kwetu alishaiva kabisa..
Ndogo hizo level za Nando hajafika aisee..
Ki ufupi Timo ni super star in the making wakati kama ulivyosema Nando alishakua super star wakati anatoka kwetu..
Ilaaniwe Corona imebadili kabisa upepo wetu kweny hili dirisha la usajili huyu alikua aje kwetu mazima...
YNWA
Well said kaka... Hilo la effect za corona alitaja kipindi fulani Klopp pindi Timo alivyokwenda Chelsea, alizungumza pia la kulipa mishahara maana ndogo kama sikosei alikua anadai £200,000/= kwa wiki sasa hio peke ingeleta instability kwenye timu maana moja ya nguzo kuu ya kujenga harmony kwenye timu ni kua mfumo wa mshahara rafiki means kua rewarded kutokana na kazi kazi nk...Tusitumie corona kama sababu, wengine wanaosajili hawajakutana na corona?
Na ukiangalia ndani ya seasons mbili, 2018/19 na hii ya 2019/20 Liverpool haijafanya usajili wowote wa kuumiza kichwa wakati imetengeneza hela nzuri sana.
Tutafute sababu nyingine.
Well said kaka... Hilo la effect za corona alitaja kipindi fulani Klopp pindi Timo alivyokwenda Chelsea, alizungumza pia la kulipa mishahara maana ndogo kama sikosei alikua anadai £200,000/= kwa wiki sasa hio peke ingeleta instability kwenye timu maana moja ya nguzo kuu ya kujenga harmony kwenye timu ni kua mfumo wa mshahara rafiki means kua rewarded kutokana na kazi kazi nk...
Ukiangalia kwa umakini ni kama vile lazima tuuze ili tununue aisee ndio maana hakuna amsha amsha kama kwa wengine... Naona Wilson atakua wa pili kuuzwa na kwa bei ya £15m sio mbaya soko hili..hivyo muda wowote utaona Jamaal anatua..
Muda utasema ndugu tuwe na subira kwa Klopp anaweza hata asinunue huyu yaani..
YNWA
Well said kaka... Hilo la effect za corona alitaja kipindi fulani Klopp pindi Timo alivyokwenda Chelsea, alizungumza pia la kulipa mishahara maana ndogo kama sikosei alikua anadai £200,000/= kwa wiki sasa hio peke ingeleta instability kwenye timu maana moja ya nguzo kuu ya kujenga harmony kwenye timu ni kua mfumo wa mshahara rafiki means kua rewarded kutokana na kazi kazi nk...
Ukiangalia kwa umakini ni kama vile lazima tuuze ili tununue aisee ndio maana hakuna amsha amsha kama kwa wengine... Naona Wilson atakua wa pili kuuzwa na kwa bei ya £15m sio mbaya soko hili..hivyo muda wowote utaona Jamaal anatua..
Muda utasema ndugu tuwe na subira kwa Klopp anaweza hata asinunue huyu yaani..
YNWA
Net spend for the last 2 windows haifiki hata £10m tumenunua Taikumi, Sepp ,bei ya Elliot ni mpaka tribunal..Mimi nachoona, matajiri wamekaza kutoa mpunga, na inabidi Klopp awape backup ya visingizio.
Timu imefika Final UEFA 2018, imechukua UEFA 2019 (hapo ni almost £160m zimetengenezwa), imekuwa moja ya top earners EPL kwa 2018, 2019 now 2020.
Ukiangalia net spend (player purchase vs sales) tuko below £100m, kwa nini tusisajili?
Tulifurahi sana kupata dili la Nike na tukawa tunashangilia sana kwamba it is time wachezaji wakubwa watakuja kwa sababu tutakuwa na uwezo wa kuwalipa.
So, what is the difference na NB kama tunaogopa kuchukua mchezaji kisa mshahara?
Jamani, tusije kufanya kama alichofanya Wenger na invincibles yake.
Mkuu kufanya kazi na hawa FSG itakua pasua aisee maana hata mimi binafsi nadhani pale Klopp hakutaka kusema aminyimwa pesa za kumnasa Timo akaleta hayo maneno ya covid na salary..Hizi hoja za Instability kwenye Timu kwasababu ya Mishahara zilishapitwa na Wakati!
Mbona Lallana walikuwa Wakimlipa £120K kwa kukaa kwenye Benchi tu huku wakina Mane wanaonituma na kuleta mafanikio wanalipwa £90M?
Mchezo wa mpira wa miguu hauna uungwana unamuuza Wilson unabaki na Origi dah!Hizi hoja za Instability kwenye Timu kwasababu ya Mishahara zilishapitwa na Wakati!
Mbona Lallana walikuwa Wakimlipa £120K kwa kukaa kwenye Benchi tu huku wakina Mane wanaonituma na kuleta mafanikio wanalipwa £90M?
Origi ni shujaa wa the best night ever at anfield..Mchezo wa mpira wa miguu hauna uungwana unamuuza Wilson unabaki na Origi dah!
Sijawahi kuamini bahati katika mpiraOrigi ni shujaa wa the best night ever at anfield..
Wewe unamchukuliaje poa?..
Mpira Una Royalty na loyalty..sio mahesabu Tu kama kampuni...