Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


On Paper 4-3-3 inaandikwa hivi

GINI - FABINHO - HENDO

na wengi munaitfsiri hivyohivyo kama ilivyoandikwa! Ndugu uwanjani Viungo hawachezi kwa kujipanga hivyo kwa mstari kama ilivyoandikwa!

Hapo wakifika uwanjani Hendo anakuwa mbele Juu (attacking), Gini anakuwa Kati (Central Mid) na Fabinho anakuwa Chini (Difensive Mid). Hawaendi sambamba wote kwa pamona kama ilivyoandikwa.

Sababu ya kuwa ndani ya Liverpool Gini hafungi ni kwamba sikuzote huchezeshwa Nyuma ya Hendo lakini mbele ya Fabinho.
Hivyo mfumo wetu wa 4-3-3 unayo attackiu Mid. Usikariri namba kuwa zimejipanga 4-3-3 wala usikariri mifumo wa Makocha wengine ukayaleta kwa Klopp.
Udhaifu wa Mchezaji kwenye Kiungo cha kushambulia usiufiche kupitia Mfumo.
 
Hahaha sasa mzee nimeweza kukuelezea kwanini Henderson haattack na De Bruyne anaattack kisha unaamini mimi uelewa wangu juu ya 4 3 3 ni hivyo unavyosema?

Hahaha 4 3 3 ya Man City inakua kwamba pale kwenye 3 Mid Rodri anakua nyuma as DMF De Bruyne na Silva wanakua mbele km AMF.

Tukinyambua tutasema ni 4 1 2 3.

Tukinyambua formation uliyoleta wewe ambayo unasema Fabinho ni DMF kisha Gini CMF halafu Henderson awe AMF hebu nisaidie tunapata nini?
 
Hapa ndo umeongea point tangu uanze kuvamia jukwaa hili mkuu
 
Hivi wakuu Sisi huwa tunakwama wap? Sana Sana Mana fekir ilobaki kidogo atue haya timo ni Sisi ndo tulianza wakwanza leo leo hayupo au hatuna. Bahati na wachezaji? Mana sielewi
 
Hawana uwezo watufunga Arsenal wenyewe wanajua kabisa.

Me nilikuwa nawatamani sana nyinyi ili tuwashushie kipigo kama kile tulichowapa mpaka ukakimbia humu kutokana na maumivu makali uliyoyapata.
Sisi tuna uhakika arsenal watawapiga maana yale ndo makombe yao ya historia..

Ile game mulitupiga maana ninyi muko vizuri alafu mulikuwa home..

#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
 
msimu ujao tutawaburuza sana.

CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Ki ukweli tutaburuzana hamna namna...

Mara pap Hakim na Timo wakaanza maisha yao darajani kama alivyoanza Pulisc haha utakimbia uzi huu walah ndugu maana utakua unapigika tu.. Ama Timo akawa kama Shevchenko ama Torres 😂😂😂wewe haya

Yajayo yanafurahisha..

YNWA
 
Yani ni bonge la mchezaji kiasi cha kufanana na kina Torres?
 

Rejea kusoma tena post uliyoniquote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…