Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
πππππππThere is only one Hendo and the luckiest bum ever...Mkuu unamaanisha huyu huyu HENDO auzwe???huyu alietupa CWC,UCL,EPL,SUPER CUP
#In LIVERPOOL HALISI VOICE
Haha
Me nadhani klopp anataka atusuprise kama alivyo fanya kwa kwa FABINHO na BACKER[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]There is only one Hendo and the luckiest bum ever...
YNWA
Yule bwana akiondoka morali ya timu itashuka.Hahaha ndio mpira ndugu kutakiana mambaya.. No offence.
Mpambane Auba abakie EPL na pengine Mikel apewe mkwaja aboreshe defence ili ligi inoge zaidi.. Mikel ameonyesha udhubutu na anahitaji kushikwa mkono msogee mbele zaidi.. Msibweteke kumpiga Liverpool, Manchester City na Chelsea ndugu mbali mnunue kuwa na consistency..
YNWA
Sure thingHii ya sub 5 ilikua subject mwisho wa ligi msimu huu, kama klabu zote wakiafiki itakuwepo...
Nadhani baada ya Afcon kua suspended mpaka mwaka kesho ni kama vile Klopp na Edwards wanarudi upya kwenye drawing board... With Afcon tungewakosa Keita, Mane, Salah hivyo hilo lilikua limetukalia vimbaya...
Well dirisha bado changa mno tusubiri tuone mipango iliyopo..
YNWA
Aisee na iwe hivyo ila mie naona kama vile Klopp atauza kwanza ili anunue...Me nadhani klopp anataka atusuprise kama alivyo fanya kwa kwa FABINHO na BACKER
Hahaha, nimecheka kwa huo mfano wako wa Arsenal.
Tusubiri kwa imani. Siyo mara ya kwanza sisi ku-doubt ila jamaa akatugeuka.
Sema nilikuwa nahitaji timu ya kupambana UEFA kibabe, ila kwa style hii sidhani kama itakuwepo timu ya hivyo.
Afuu si unajua Klopp ni mzee wa kujimwambafai kwa average playerS sana sana na zile kauli zake dah kiuhalisia Kocha tunae ila sokoni lazima aingie .Aisee na iwe hivyo ila mie naona kama vile Klopp atauza kwanza ili anunue...
Unajua wachezaji wengi wanaouzwa inakua ni malipo ya muda mrefu kwa mfano mchezaji anauzwa Β£60m unakomaa upfront deposit ya Β£20m na ulipe balance kwa instalments Β£40m, zinalipwa hata miaka 3 ama zaidi,.. Mtihani mkuu ni mshahara ambao hua hauna mkopo ndugu.. Ila kama ni kununua zipo njia mbadala hata mkopo wa benki kama vile tulivyomnunua Torres enzi hizo..
Miaka hii 3 tumepata ela nyingi tu EPL, UCL nk hivyo siamini kama tumeishiwa kiasi hicho...
YNWA
Hahah Babu Willian mnampa miaka 3 aisee upo uwezekano mpaka Jumamosi akawa ni wa kwenu...Yule bwana akiondoka morali ya timu itashuka.
Halafu bora nyinyi hamsajili mnajua moja sisi tunahusishwa na babu Willian na reject Coutinho. No offense kuhusu Coutinho ila siamini kama ana akili na uwezo aliouonyesha Liva.
Ngoja tuwauzie Man U Guendouz kwa Milioni 40 tupate starter ya cash ya kusajili.
Sure ndugu after all Klopp alishasema kikosi chake kinamtosha na kipo vizuri haha message sent ππ..Sure thing
Ngoja tuone ukimya wetu utaleta nini kipya
Haha hilo ni kweli yeye huenda kinyume na soko na makocha wengine..Afuu si unajua Klopp ni mzee wa kujimwambafai kwa average playerS sana sana na zile kauli zake dah kiuhalisia Kocha tunae ila sokoni lazima aingie .
Maana game nying zishaonyesha uwezo wetu dhahiri
-vs ATM
-vs MANCITY
Sure ndugu after all Klopp alishasema kikosi chake kinamtosha na kipo vizuri haha message sent [emoji23][emoji23]..
Kwa mfano tusiposajili huku tukitegemea akina Origi na Jones nk itabidi ki ukweli wachezaji wote warudi kiwango kile tulichoanza nacho msimu uliosha.. Kiwango chetu mwezi wa August, September, October, November kilikua top top we played as u unit and with a purpose..
Sasa tazama tulivyomaliza msimu yaani kama vile hatupo..
Hopefully Klopp hatabweteka na matokeo na achievements for the last 1 year.
YNWA
Mwamba ulipambana Kuwaita modereta..vip walikuitikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatimaye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa qummer sana wewe unakimbiliaga kuita mod wenzako wapigwe ban ila ww unatusi wenzio tu qummer wewe
Uyo jamaa ajui utani msameheni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo huyo Mode unayemuita ndiye mimi mwenyewe King Ngwaba sasa imagine nitajipigaje self ban kama Ollachuga Oc alipoliwa na Arsenal! [emoji23][emoji23][emoji23]
Yalishapita hayo naweweMwamba ulipambana Kuwaita modereta..vip walikuitikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeibuka mzeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo Ollachuga Oc anajipigaga ban la siku tatutatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafu anaibukia majukwaa mengine kwanza kisha ndo anarudi kule kwao,
Leo kaonekana kule kwa Manyumbu anajipoza. [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua mimi sikasirikagi ata wewe uki mind fresh tu ..huyo Ollachuga Oc namfananishaGa na jamaa mmoja alikua anajiita kichwani chelsea moyoni chelsea kule fb jukwaa la sport xtra alikua maarufu sana[emoji23]
Mkuu unajua mimi niko so yesterday [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yalishapita hayo nawewe