Timu halina mvuto wamechukua kombe lakini mvuto FIvi nyie liverkuku Mbona sisikii tetesi zozote za usajili wachezaji hawataki kuja nini
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe, aiseeeee unakipaji kikubwa sana, unaweza kuniambia msimu ulioisha liverpool ilimsajili nani nani ili wachukue ubingwa?Timu halina mvuto wamechukua kombe lakini mvuto F
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe, aiseeeee unakipaji kikubwa sana, unaweza kuniambia msimu ulioisha liverpool ilimsajili nani nani ili wachukue ubingwa?
Huna akili wewe mbwiga, Shaqir kasajiliwa lini liverpool au unaropoka tu?Shaqir, minamino wengine nimewasahau
Ndo useme sasa Kwani mi timu yangu hii mpaka nijue sanaHuna akili wewe mbwiga, Shaqir kasajiliwa lini liverpool au unaropoka tu?
The Liverpool set up is a bit designed to succeed man...nilipoona hii habari nikakumbuka mambo ya manure na ed wao, hawa watu wa biashara huwa ni shida sometimes!
ngoja tumpe benefit of doubt!
Sema hiz jez tatujua uzuri wake wakishapiga nazo pichaHizi home kits hazijanibariki kabisa.
Sema hiz jez tatujua uzuri wake wakishapiga nazo picha
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app