Nasema hivi jipangeni...Umeibuka? Hahahahahah
mbona mechi nzuri sana mkuu wanguFainali mbovu na ya hovyo sana Kuwahi kutokea katika ulikuwa wa soka
Mkuu kamechi ka hovyo sanambona mechi nzuri sana mkuu wangu
Wee hujui mpira kaa kimyaMkuu kamechi ka hovyo sana
Kwhy chelsea, kazi yenu ni kusaidia timu nyingine kuchukua makombe.Tunawambia mapema kabisa..
Ngao ya jamii mujipange ...
Allison kitobo kwa sasa, VVD keshaanza kujichokea, Salah Mane ndo ivyo tena ..mutaeleza izo tano mumetufungaje..
Kombe tuwasaidie na bado mutufunge??
#CFC![]()
Umepakuliwa hukoWee hujui mpira kaa kimya


