Keita lazima aivuruge mildifield ya hawa london babies
Kuku kama kuku
Definitely a very t special feelings to have seen and be part of this occasion...cheers 🍻 🥂 we have made it 😊
Zwazwa eeee, halisi ndo nini?!Tuna haki ya kushangilia sisi Liverpool HALISLeo ni siku yetu,tulinyanyaswa sana na Liverpool -Pep Guardiola
Ni New JORDAN IBE kwa mtazamo wangu mimi sioni kitu hapa.Dogo nae na medali yake. Itampa motishaView attachment 1514572
HahaaaKumbuka sisi ndo tumewarahisishia kuwa mabingwa mkuu..kumbukeni kulipa fadhila, wala hatutawacheka
Tunajua Klopp ni mtu muungwana sana ..
#CFC![]()
Hahaha, game ikiwa Anfield EPL hutakiwi kuwa na wasiwasi.
Hapo ni Machinjio ya Vingunguti.
Shukurani za dhati ziwafikie
Tatizo hatubebekagi sisi,jana tungeshinda ingekuwa better
Bado siamini kama tutaishia top 3 ,nasikilizia nafasi ya nne ama tano



,hivi rafiki yangu Ed edd n eddy upoo? Missing you so much!!!