Kepa ni Karius mwenye umri mdogoHilo shati lililokaa hapo we lenga goli tu
Siku hizi unashabikia timu ngapi, hapo EPL.Naby Keita, huyu majeruhi yanafanya tukose burudani kubwa
Safari njema Mkuu...Sema game la leo sitoaangalia niko safarini wadau muda huu ndo natoka Dodoma
NakubaliTunawachapa 5 tunza hii comment
Zinazovaa jezi nyekundu (kasoro manyumbu) na West ham mkuuSiku hizi unashabikia timu ngapi, hapo EPL.
Tulia tukusaidie tu.Liver siwapendi
Najua na nyie hamnipendi....but thank you,msizubae sasa hawa maboya wakapindua meza