Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Na niliwaambia humu kwakuwa Hendo hayupo tutawachakaza,
Hii couple ndio siri ya ya mafanikio Liverpool
View attachment 1508209
Huyu jamaa mimi napenda kumuita Bro, hajawahi niangusha yupo poa sana....yupo kama Hendo[emoji23][emoji23][emoji23] maana yeye ndio siri ya mvuto wa hili jukwaa hapoi haboi hata wale watoto wakija wanatulia[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, huyu mwamba MosDef atakuwa yuko tight sana na kufanya scouting.
Natamani kusikia kutoka kwake kuhusu mipango ya usajili na majina anayoyapendekeza kwa uongozi.
Mimi kila siku nipo mkuu wewe mwenyewe wajua[emoji23]Tumekupa ticket ya kushinda humu kwenye hii thread, tamba tu.
Jukwaa ni lako lote hili.
Huyu jamaa mimi napenda kumuita Bro, hajawahi niangusha yupo poa sana....yupo kama Hendo[emoji23][emoji23][emoji23] maana yeye ndio siri ya mvuto wa hili jukwaa hapoi haboi hata wale watoto wakija wanatulia[emoji23][emoji23][emoji23]
Comment yake unaishia kulike tu,
Mimi kila siku nipo mkuu wewe mwenyewe wajua[emoji23]
Ndugu yako Momo mzee wa mifano ya Liverpool anambwela tu studio huko,alikuwa na matokeo mfukoni nae[emoji23][emoji23][emoji23]Ila leo uko kisheria, kutufunga ni ticket tosha ya wewe kumiliki hili jukwaa.
[emoji1317] mkuu hilo sio lengo langu[emoji23][emoji23][emoji23],wewe upo vizuri kichwani zaidi ya yule jamaa,Hizo ni dharau bro, eti hata mimi!
Kweli unanilinganisha na kiazi Momo!
Aisee.
[emoji1317] mkuu hilo sio lengo langu[emoji23][emoji23][emoji23],wewe upo vizuri kichwani zaidi ya yule jamaa,
Nimependa hayo maneno hapo jukwaani[emoji1320][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]??????????????? View attachment 1508263
Mechi yetu vs Chelsea natamani tumpe point3 chelsea then nyumbu afie huko FUTUI CUP
Nimtazamo wangu
Naona leicester yupo juu ya nyumbu kwa gdHata tukifungwa, Man U anaingia kwa ticket ya Leicester City
Naona leicester yupo juu ya nyumbu kwa gd
Ngoja tuone ,mechi ya leo kama leicester atatoboa mambo yatakua mukide maana pia Nyumbu yupo na Foxes hivyo mechi pande zote ni ngumuMimi pia natamani iwe hivyo, ila nakuhakikishia Man United atapita hata kwa kupewa penalties.
Ngoja tuone ,mechi ya leo kama leicester atatoboa mambo yatakua mukide maana pia Nyumbu yupo na Foxes hivyo mechi pande zote ni ngumu
YahHiv kumbe Arsenal hata EUROPA hatocheza akikaa hovyo
Jiandaen kiakil