Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama hapa Watu hawajaona tatizo basi kuna shida kwenye akili za Washabiki wa Liverpool.

Imagine tunamlazimisha Lovren kumuongezea Mkataba kweli kuna mpango wa kusajili hapa?
Haki ya nani kina Sterling wanacheka kusikia habari kama hizi coz wana uhakika wa kujipigia.
 
Mwamba huyu hapa,

Captain wa mfano,

Capain hodari,

Kisiki kisichoimbwa,

Anachukiwa na mashabiki oya oya
Wachezaji chipukizi wenye uchu wa mafanikio Kuna mengi ya kujifunza kwa huyu jamaa,

Itawachukua karne nyingi Majogoo kupata Captain wa kariba hii,

Kila la kheri kamanda,Liver uliibeba mabegani mwako,Klopp aliingia mwilini mwako ukawa na spirit ya upambanaji na uongozi.

Nasubiri Arsenal warelease new kit ninunue niandike jina lako mgongoni.

[emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320]
 
Nakisemaga hapa mnaniona hater, nyie ni mabingwa wa kuokoteza vijirekodi na unazisapot vizuri tu,
ila hii unaipinga kwa kuwa wewe ni anti-Hendo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We jamaa umenichekesha sana...!
 
Hii vita na HENDO haitokuja isha humu

Binafsi Hendo kashanitoka moyoni kitambo sanaaa
 
Hii vita na HENDO haitokuja isha humu

Binafsi Hendo kashanitoka moyoni kitambo sanaaa
Mwamba huyu hapa,

Captain wa mfano,

Capain hodari,

Kisiki kisichoimbwa,

Anachukiwa na mashabiki oya oya
Wachezaji chipukizi wenye uchu wa mafanikio Kuna mengi ya kujifunza kwa huyu jamaa,

Itawachukua karne nyingi Majogoo kupata Captain wa kariba hii,

Kila la kheri kamanda,Liver uliibeba mabegani mwako,Klopp aliingia mwilini mwako ukawa na spirit ya upambanaji na uongozi.
Klopp akimwelewa inatosha kabisa,

Nasubiri Arsenal warelease new kit ninunue niandike jina lako mgongoni.

[emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…