Pimbi weweFirmino ni Jesse lingard aliyechangamka![]()
Yaani nimejibana sana, Mungu aendelee kunipa busara nisiandike kile shetani ananituma kuandika kuhusu hii injury.
namuombea kwa Mungu apone haraka arudi baada ya game yetu ,







Hamna kitu yulee anabebwa na uingereza tuIvi kuna anayeweza kujua ni nini hasa kimemkuta Gomez? Coz namuhisi hasa kama site yule ninayemjua mimi anayekaba mpaka upepo.

kuna swali nilikuuliza mbona hukunijibu?Hii team mashabiki wake akili zimechakaa Kama team yenyewe ilivyo msimu ujao hata kombe la mbuzi hampati![]()
Wapi
Kweli kabisaIvi kuna anayeweza kujua ni nini hasa kimemkuta Gomez? Coz namuhisi hasa kama site yule ninayemjua mimi anayekaba mpaka upepo.