Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
Magoli yenu yakuvizia kona mpira umesimama Safari mmepatikana kumi na sita tu njee ..


Magoli yenu yakuvizia kona mpira umesimama Safari mmepatikana kumi na sita tu njee ..


i dont blame you cause you were born out of wedlock ..Hizi Gspot mbili zinamuwasha sana.
Atafutiwe migegedo ya kutosha huyu kijana.
Unaleta huo uchafu wako wa kiuno feni kwenye uzi wa mabingwa!!
Uzi mkali sana huu, nyekundu haijawahi kuniangusha
Mara ya mwisho klabu yako kuchukua UCL au EPL ni lini?Unaota mchana hivi ktk club zenye fan base kubwa loserfools hamuingii hata top 6 acha utahira ww![]()
Na mimi mule mule yaaniYaani nimejibana sana, Mungu aendelee kunipa busara nisiandike kile shetani ananituma kuandika kuhusu hii injury.
Nilifurahia kimoyomoyo kuumia kwake nikaona nigumie tu nisijeongea kauli za kirogajiDah, watu mna chuki na kapteni balaa.
Nilifurahia kimoyomoyo kuumia kwake nikaona nigumie tu nisijeongea kauli za kirogaji
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Na mimi nimemuignore aisee sivumiliagi mawazo against me sijui nao ni ugonjwa?Kilichobakia huyu Kenge aliyejiunga JF Hivi juzi baada ya Shule kufungwa kutokana na Corona ni kumuignore tu nisione ujinga wake.
#Gpili_Ignored
Na mimi nimemuignore aisee sivumiliagi mawazo against me sijui nao ni ugonjwa?
Huyo Ollachuga Oc na Aaron Arsenal huwa ni watu poa kabisaInategemea na jinsi mtu anavyofikisha mawazo pia, huyu lengo lake ni kukera watu.
Ollachuga Oc na DullyJr tuko nao kila siku na wanakuwa wanatuponda, ila hawakeri, wasipokuja muda mrefu unakuta tunawamiss.
Huyu anatafuta attention kwa kukera watu.
Huyo Ollachuga Oc na Aaron Arsenal huwa ni watu poa kabisa
Leo tunaifikia Rekodi yetu ya points za last season, Next game tunaivunja Rekodi yetu na kuweka rekodi mpya ya kuwa na Points nyingi.
Linapokuja suala la kuhitajii points 3 na wakati huo tuko Anfield huwa sina shaka kabisa mzee babaBado mkuu, leo tutafikisha 95, maana tuna 92.
Game ya Arsenal ndo tutafika 98.
Ila hii tabia ya kuanza game na matokeo mkononi iliniadabisha siku ya Watford!
Ha ha haaaaaa ngoja namii ninyamaze ila ha ha ha ahaaaaaa.Yaani nimejibana sana, Mungu aendelee kunipa busara nisiandike kile shetani ananituma kuandika kuhusu hii injury.
Halafu asaivi tusiwe na matokeo mana naona kama wachezaji wamepunguza speedBado mkuu, leo tutafikisha 95, maana tuna 92.
Game ya Arsenal ndo tutafika 98.
Ila hii tabia ya kuanza game na matokeo mkononi iliniadabisha siku ya Watford!