Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Nadhani tunaangalia vitu katika mfumo unaotofautiana.

Unachojaribu kufanya ni ku devalue ubingwa huu kwa kisa eti amepoteza mechi zaidi ya moja ukilinganisha na Chelsea aliyewahi kuchukua kwa kufungwa mechi moja.

Maswali yangu ni mawili:
1. Arsenal aliyemaliza bila kufungwa, unamweka daraja gani?
2. Liverpool alishawahi kupoteza moja na hakuwa bingwa, je hiki ni bora kuliko kuwa bingwa kwa kufungwa mechi nyingi?
 
No, sijafanya hivyo. Liverpool wanastahili(stahiki) pongezi juu ya pongezi. Ukikaa chini ukaielewa post yangu ya kwanza nilisema motivation imepotea baada ya kulibeba kukiwa zimebaki mechi 7. Hii imesababisha kutoendelea kupigania kumaintain rekodi ya kupoteza mechi 1. Endapo wasingekuwa wamelibeba hadi sasa motivation ya kuweka rekodi (nayoongelea) ingekuwa bado ipo hai.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…