Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha huyo ni Mr Fix wa Klopp... Popote anakaa na anapiga kazi fresh...

Siku utaona anakipiga namba 9 😂🤣🤣🤣

Real Madrid mwaka jana June walijafanya kuleta ofa Klopp akawaambie hauzwi hata kwa lipi....



YNWA
 
Long time Mkuu mmangO salama lakini.....

Mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]

Mi naona wangemaliza kabisa na 2020 - 2021 season Hahaha..

YNWA
Hahahahah Pamoja mkuu .....bado nilikuwa naiwazia ile game na ATM ..
Lakini yote kwa yote wacha tukipige weekend goli lishatanuliwa[emoji38][emoji38][emoji38]
#WeareLiverpool
#YNWA
 
Ubingwa wa hovyo kabisa ambao haujawahi kutokea duniani

Hivi kuna raha gani kuchukua ubingwa mpo lockdown +barakoa mdomoni ,hakuna mashabiki, sasa sijui ni nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Gundu bado lipo nyuma yenu,
 
Sawa tunashkuru kwa maoni yako karibu tena
 
Ni wivu tu unakusumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…