Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Idadi ya miaka ya ukame mpaka kuja kubeba kombe EPL

Spurs = 59 years
Chelsea = 50 years
Man City = 44 years
Arsenal = 42 years
Man United = 41 years
Everton = 33 years
Liverpool = 30 years

Hizi kondoo zinazokuja hapa na kumake fun of us kwamba ni muda mrefu na ingali walishakaa zaidi ya miaka 40 utafikiri walikuwa safari ya Jangwani kutoka Misri kwenda Kanaani!

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh hao wenye 50 vipi Si umri wa MTU kabisa
 
Kwanza Namshukuru Klopp ahsante sana kwa kuturudishia heshima na itaendelea hiyo ndio LiverpoolFC nawapa pongezi mashabiki wenzangu pia wa Jamiiforum sie ndio tunajua furaha yetu ipo vp haijalishi furaha ni furaha tu wacheni wanaojifanya kujisahaulisha waendelee ila wanaona Mabingwa wa Uengereza tunatishaaaa!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…