HahahahahahahahahKwenye Mpira kila Mtu anaangalia kwa Macho yake na Anaongea kulingana na Mtazamo wake! So, kila Mtu ni bora aconcentrate kuandika kile alichokiona yeye kuliko kuconcentrate na Comments za wenzake.
Kuvamia Comments za watu ni jambo lililopitwa na wakati.
Andika ulichokiona mchezoni na si ulichokiona Jukwaani kikaiandika mwengine.
I can't breathMinamino ni average player, not Liverpool FCs caliber.
Alex Ox Chamberlain alishafikia ceiling yake, he is declining. Auzwe.
Keita natamani kumpa msimu mwingine nione talent yake, na je majeruhi yatamwepuka?
Lovren najua anaondoka soon.
Henderson sina namna ya kumwongelea, yeye na Klopp wanajua zaidi.
We need to get into business this offseason, we need game chengers type of players.
I can't breath
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Your life matters.
Liverpool imeshafika peak, sasa ni downfall tu...25 years....Minamino ni average player, not Liverpool FCs caliber.
Alex Ox Chamberlain alishafikia ceiling yake, he is declining. Auzwe.
Keita natamani kumpa msimu mwingine nione talent yake, na je majeruhi yatamwepuka?
Lovren najua anaondoka soon.
Henderson sina namna ya kumwongelea, yeye na Klopp wanajua zaidi.
We need to get into business this offseason, we need game chengers type of players.
Kuna kitu najaribu kukiwaza lakini hakiji kwenye maandishi katika mfumo niutakao.
Liverpool FC imechoka, kuanzia beki, midfield mpaka forwards.
Sioni Liverpool tuliyotaka idominate Premier League na UEFA.
Next season will be one tough season to us.
Hivi ni macho yangu mabovu kwamba Firmino yuko kwenye decline au niko sahihi!
Minamino ni average player, not Liverpool FCs caliber.
Alex Ox Chamberlain alishafikia ceiling yake, he is declining. Auzwe.
Keita natamani kumpa msimu mwingine nione talent yake, na je majeruhi yatamwepuka?
Lovren najua anaondoka soon.
Henderson sina namna ya kumwongelea, yeye na Klopp wanajua zaidi.
We need to get into business this offseason, we need game chengers type of players.
Minamino ni average player, not Liverpool FCs caliber.
Alex Ox Chamberlain alishafikia ceiling yake, he is declining. Auzwe.
Keita natamani kumpa msimu mwingine nione talent yake, na je majeruhi yatamwepuka?
Lovren najua anaondoka soon.
Henderson sina namna ya kumwongelea, yeye na Klopp wanajua zaidi.
We need to get into business this offseason, we need game chengers type of players.
Liverpool imeshafika peak, sasa ni downfall tu...25 years....
Minamino since yupo Red B alikuwa ni average but alionekana kuwa ana potential flani hivi.
Sasa niliamini kuwa Klopp anaweza kumfanya at least best player au even World Class kama alivyofanya kwa kina Salah na Mane.
Nahisi bado anayo room ya improvement
Jana mbona kajitahidi sana mkuuKeita ame fail tukubali tu.
Kama ni kweli tunamtaka Reuben na traore basi tunawahitaji kweli
Dogo Firmino anazinguaKuna kitu najaribu kukiwaza lakini hakiji kwenye maandishi katika mfumo niutakao.