Yani nimemis sana kuona vile vitu vya akina mane, Firmino, Faby, Trent, n.k daaaaaah,Tunakumbushana tu....
Bado siku kumi turejee kwenye road to EPL trophy
Na parade itafanyika vs city
Tuongeze sauti?
Wewe......Nenda kachukue Buku 7000 zako pale Lumumba hauna ulijualo kwenyye soka.Liver anachukua ubingwa wa epl, ila nimefurahi sana ubingwa huu utakuwa ndio ubingwa wa kinyonge sana kuwahi kutokea. Mnakabidhiwa kombe kwenye empty stadium, na hamna street parade kusherehekea. Yaani mkipewa kombe straight linaenda kabatini.
Korona ni mpango wa Mungu.
Kikubwa kombe aseiLiver anachukua ubingwa wa epl, ila nimefurahi sana ubingwa huu utakuwa ndio ubingwa wa kinyonge sana kuwahi kutokea. Mnakabidhiwa kombe kwenye empty stadium, na hamna street parade kusherehekea. Yaani mkipewa kombe straight linaenda kabatini.
Korona ni mpango wa Mungu.
Mimi sio shabiki wa kelele na kucheza mpira mdomoni tu, bado napiga ndondo. Naujua mpira sio wa mdomoni tu kama wewe.Wewe......Nenda kachukue Buku 7000 zako pale Lumumba hauna ulijualo kwenyye soka.
kwa hiyo tukusaidie niniMimi sio shabiki wa kelele na kucheza mpira mdomoni tu, bado napiga ndondo. Naujua mpira sio wa mdomoni tu kama wewe.
Mbona una kiherehere sana dada? Tatizo nini? Ashki au?kwa hiyo tukusaidie nini
kaongee na wanaoujua mpira humu sisi hatujui
Dada?Mbona una kiherehere sana dada? Tatizo nini? Ashki au?
Nilikua namjibu aliyedhani mie sijui mpira sio wewe..
kwa hiyo ulidhani ukisema dada ntaumiaMbona una kiherehere sana dada? Tatizo nini? Ashki au?
Nilikua namjibu aliyedhani mie sijui mpira sio wewe..






Siasa haitakiwi kwenye mambo ya soka.Wewe......Nenda kachukue Buku 7000 zako pale Lumumba hauna ulijualo kwenyye soka.
Mpambe mkubwa sana wa CCM huyo jamaakwa hiyo tukusaidie nini
kaongee na wanaoujua mpira humu sisi hatujui
🔊 🔊 🔊 🔊 🔊 🔊Tunakumbushana tu....
Bado siku kumi turejee kwenye road to EPL trophy
Na parade itafanyika vs city
Tuongeze sauti?
Tuliopo hapa ni full shangwe man hivyo hayo ya parade kwa sasa hayatuhusu ndugu....Liver anachukua ubingwa wa epl, ila nimefurahi sana ubingwa huu utakuwa ndio ubingwa wa kinyonge sana kuwahi kutokea. Mnakabidhiwa kombe kwenye empty stadium, na hamna street parade kusherehekea. Yaani mkipewa kombe straight linaenda kabatini.
Korona ni mpango wa Mungu.
Hivi Mimi Kuna issue imenishinda je? Nikwamba tutmemuacha kabisa winner au? Mana sielewi chochote mpaka nw?
Hivi Mimi Kuna issue imenishinda je? Nikwamba tutmemuacha kabisa winner au? Mana sielewi chochote mpaka nw?